Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Wengi hawajawaza nje ya boksi kama ulivyofanya.Huyu Manara hapa anafanya mambo Matatu...!
1. Anajaribu Kumwombea msamaha
2. Anampa Lawama kwa kauli 'We ni shekh unashindwa nini kusamehe?
3. Tuhuma ya dhurumati kwa Kauli ' Hakuna mtu aliyetajirika kwa fedha ya fidia'
Ukisikia Uchonganishi ndo kama hivi...!tena anafanya hivi kwenye hadhira.
Hakuna ombi hapo..
Naunga mkono hoja. Manaraanatia pilipili kwenye macho ya Kamwe