Katika mazingira yasiyo ya kawaida Manara amuombea msamaha Ally Kamwe sakata la Sandaland

Katika mazingira yasiyo ya kawaida Manara amuombea msamaha Ally Kamwe sakata la Sandaland

Wanajisumbua hamna chochote, vp leo na Yanga wakiamua kutafuta matusi ya Ahmed Ally?Mpira wa bongo wasemaji ni mabingwa wa vijembe na kuponda. Utani wa mpira na pilato wapi na wapi au may be mauzo sio mazuri.
Ahmed hajatumia mtengezaji wa jezi kutokana yanga
 
Hatakutwa na chochote kama ataomba radhi.Kamwe kwa kujua kuwa ameharibu ataomba radhi ndani ya siku 7.Tunza risiti hii,Kamwe hana njia nyingine zaidi ya kuomba radhi maana baba yake amesema hata wakichanga ukoo mzima hawawezi kuipata hiyo bilioni 3
Wapare wakiacha ubahili mbona wanapata...wanaunganisha koo 10... Wanauza asset zote
 
Defamation Haina uzito kwa tz tu kwakua watu wanachukulia poa, lakini kwa nchi za wengine ni bonge la case.

sio kosa kuponda jezi za Simba, kosa ni kutaja jina la mtengenezaji na msambazaji. Nimeskia watu wakisema kataja neno sanda na kama kataja wazi ni dhahiri kaharibu brand ya watu. Sanda ni brand ndomana jina la sanda linasoma kwenye jezi za Simba. Kwahy kumtaja sanda Moja kwa moja ni kosa.

Ahmed Ally utamskia akiponda jezi za Yanga lakini huwezi kumskia akisema GSM katoa jezi mbaya, GSM ndo msambazaji wa jezi za yanga, GSM ni brand na yeye kama msemaji wa club kubwa anamamilioni ya watu wanaomfatilia , neno lake linasafiri masafa marefu. Kumshambulia hadharani ni kuharibu biashara yake.

Hata kama watayamaliza kimya kimya lakini atapata funzo kuto kumshambulia mtu au brand yake Moja kwa moja. Nafikiri hata sanda Hana shida na hizo pesa Bali anataka ampe funzo kijana.
Hapo unasemaje ?

View: https://m.youtube.com/watch?v=rzDcQuT_cwY
Narudia tena Kamwe hatoomba msamaha.
 
Mbona kwenye hayo maneno dogo alisema bwana Sanda, huyo sandaland anathibitisha vipi yeye ndio bwana Sanda? Je kama bwana Sanda ni Shaffih Dauda maana na yeye ana duka la vifaa vya michezo.

Sema Manara anapenda sana attention 😁
Nimesoma hilo neno bwana sanda lakini hao sandaland hawajasema popote kama hilo wana haki miliki.
 
Back
Top Bottom