Katika mazingira yasiyo ya kawaida Manara amuombea msamaha Ally Kamwe sakata la Sandaland

Katika mazingira yasiyo ya kawaida Manara amuombea msamaha Ally Kamwe sakata la Sandaland

Kuna uwezekano yanga wakamtelekeza kamwe msala ila kiukweli wakiamua kumsaidia, anashinda au yanaishia nje ya mahakama, hizi ni challenge za wanasheria tu.
 
Ninyi ndio mnawapa kiburi hawa kujiona wanaweza kusema/kufanya chochote kwa sababu nimpira
Sioni kosa kuiponda jezi hata Ahmed Ally mbona anafanya sana.Ndio mpira. Utani hauchagui eneo cha msingi husitukane kama afanyavyo Manara.
 
Wanajisumbua hamna chochote, vp leo na Yanga wakiamua kutafuta matusi ya Ahmed Ally?Mpira wa bongo wasemaji ni mabingwa wa vijembe na kuponda. Utani wa mpira na pilato wapi na wapi au may be mauzo sio mazuri.
Utani upo kwa Simba na Yanga,usilete utani katika biashara za watu,Simba hawajamshitaki Ally Kamwe,Simba walishamalizana na Sandaland,anachofanya Ally ni kuchafua biashara ya Sandaland
 
Kuna uwezekano yanga wakamtelekeza kamwe msala ila kiukweli wakiamua kumsaidia, anashinda au yanaishia nje ya mahakama, hizi ni challenge za wanasheria tu.
Atashinda kwa mwanasheria gani wa Yanga?Ally Kamwe asijidanganye akawaachia Yanga wamtumie mwanasheria wao
 
Ally komwe kaichafua brand ya sanda na sio simba so hapo ni kesi between sanda na kamwe na sio kamwe na simba so hapo hakuna utani wa jadi bali kaichafua biashara ya bwana omar sanda mkali wa hizi kazi mwanasheria kilaza simon patrick hii kesi atoboi.
 
Hamna chochote kitacho mkuta Kamwe,tupo humu uzuri JF inatunza risiti. Tutakumbushana mda si mrefu.
Hatakutwa na chochote kama ataomba radhi.Kamwe kwa kujua kuwa ameharibu ataomba radhi ndani ya siku 7.Tunza risiti hii,Kamwe hana njia nyingine zaidi ya kuomba radhi maana baba yake amesema hata wakichanga ukoo mzima hawawezi kuipata hiyo bilioni 3
 
Sioni kosa kuiponda jezi hata Ahmed Ally mbona anafanya sana.Ndio mpira. Utani hauchagui eneo cha msingi husitukane kama afanyavyo Manara.
Kama kweli Ahmed Ally aliiponda jezi ya Yanga haitoi uhalali wa kosa kisheria ndio maana Sandaland anataka kutoa funzo kwa wachafuzi wa brands za watu na Ally Kamwe ndio atakuwa mfano kwa wengine
 
Back
Top Bottom