Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Sandaland nae kazinguaHapo ni kama kaonyesha udhaifu wa kamwe kwamba kweli anapuyanga 🤔
Hao ni wafanya biashara na aly kamwe ni msemaji wa taasisi kubwa , maneno yake ni maneno ya taasisi , kisheria taasisi fulani kuharibu biashara ya taasisi nyingine ni kosa kisheria.Sandaland nae kazingua
Hapo issues sio kati ya aly kamwe na simba, hapo issue ni kati ya wafanya biashara sandaland na aly kamwe kama msemaji wa yanga.Wanajisumbua hamna chochote, vp leo na Yanga wakiamua kutafuta matusi ya Ahmed Ally?Mpira wa bongo wasemaji ni mabingwa wa vijembe na kuponda. Utani wa mpira na pilato wapi na wapi au may be mauzo sio mazuri.
Mbona kwenye hayo maneno dogo alisema bwana Sanda, huyo sandaland anathibitisha vipi yeye ndio bwana Sanda? Je kama bwana Sanda ni Shaffih Dauda maana na yeye ana duka la vifaa vya michezo.Utu uzima dawa Manara ametumia utu uzima na busara zake kumuombea msamaha ally kamwe .
Adai masuala ya michezo ni tofauti sana ni mambo mengine kama uinjinia , udaktari ..nk
View: https://youtu.be/cUoVBt40irw?si=8ujhQqXeDnsOBJ7UView attachment 3165251
Hamna kitu tupo hapa hata angekuwa nani,utani wa mpira na pilato wapi na wapi.Hapo issues sio kati ya aly kamwe na simba, hapo issue ni kati ya wafanya biashara sandaland na aly kamwe kama msemaji wa yanga.
Kwani yanga ina utani na simba au biashara ya sandaland?Hamna kitu tupo hapa hata angekuwa nani,utani wa mpira na pilato wapi na wapi.
DaaaHao ni wafanya biashara na aly kamwe ni msemaji wa taasisi kubwa , maneno yake ni maneno ya taasisi , kisheria taasisi fulani kuharibu biashara ya taasisi nyingine ni kosa kisheria.
Sheria huduma za kieletronic Ac2010
matumizi mabaya ya teknolojia kwa njia ya kuharibu biashara ya wengine na kueneza habari za uwongo ama udukuzi.
Tupo humo na JF inatunza rekodi,jamaa anajisumbua.Kwani yanga ina utani na simba au biashara ya sandaland?
Hilo ni kosa kisheria labda tu sheria ipindishwe au busara za mlalamikaji zitumike.Tupo humo na JF inatunza rekodi,jamaa anajisumbua.
Nakwambiaje tupo humu JF,anajisumbua utani wa mpira na pilato wapi na wapi.Hilo ni kosa kisheria labda tu sheria ipindishwe au busara za mlalamikaji zitumike.
Utani bwa mpira kati ya nan na nani?Nakwambiaje tupo humu JF,anajisumbua utani wa mpira na pilato wapi na wapi.