Katika miaka 16 ya uongozi, Angela Merkel hakumteua ndugu yake yeyote katika nafasi ya uongozi serikalini

August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
9,327
Reaction score
5,206
In 16 years of power, Angela Merkel did not appoint any of her relatives to a state position.

Germany said goodbye to its leader, physicist and quantum chemist, who was not tempted by fashion or lights and did not buy real estate, cars, yachts and private jets. They came out on their balconies and clapped for 6 minutes, a standing ovation across the country.

She leaves and her loved ones claim no benefits.

For sixteen years, she never changed the style of her wardrobe. At a press conference, a journalist asked Merkel: ''We realize that you are wearing the same suit, don't you have another?» She replied: «I am a civil servant, not a model.»

In another press conference, they asked her: "Do You have a housemaid cleaning your house, preparing food, etc." Her response was: "No, I have no servants or need them. My husband and I do this work every day at home."

Then another journalist asked: "Who is doing the laundry, you or your husband?" Her response was: "I'm fixing the clothes and my husband is the one who runs the washing machine."

Ms. Merkel lives in a normal apartment like any other citizen. She lived in this apartment before being elected Chancellor of Germany. She did not leave it and she does not own a single villa, houses, pools, gardens.

Angela Merkel, the chancellor of Europe's largest economy, will always remain a great example of leadership, driven by values, selfless principles, facts and empathy.

Angela is truly a role model, if only more leaders are like her!
 
Ama hakuwa naye msomi mweledi mwengine kwao au alikuwa mwoga.

FYI, kutomteua siasani haina maana kwamba hawakunufaika na keki ya taifa.

Vipi kama alikuwa wachezaji nje ya uwanja?

Wanaweza kuchotewa mkwanja wa kufa-mtu wakabaki kuendeleza biashara na shughuli binafsi za ndugu yao kiongozi, huku wakilindwa na serikali na kutetewa.
 
Wenda hakuwa na ndugu anaye sitaili kuwa kiongozi.
Kiongozi kumteuwa ndugu yake kwenye serikali sioni kama ni tatizo, la msingi awe na vigezo vinavyo hitajika kushika ile nafasi ,maana sidhani kama ndugu yako kuwa kiongozi kunakuondolea sifa na haki kama walizo nazo raia wengine.
 
Kwa nchi za wazungu hilo ni kosa wenzetu hao waone hivohivo huko mbugani wakianfalia wanyama.
 
Yaani ulaya asiwe na ndugu mwenye vigezo? Huyu mama ana ethics , is what happen kiongoz unapokuwa mwadilifu. kitu ambacho mtu mweusi hana
 
Bahati mbaya na wewe umeamini hii propaganda.
Wewe huamini kwavile hujatoka nnje ya Africa mawazo yako yanafikiria kiafrika, wazungu zaidi ya kuwaona mbugani huijui lolote kuhusu wao ??? Visa kwa wafanya kazi au biashara kwa bongo zinatoka tue na kawaida ya kutembea itatusaidia kutoa tongotongo.
 
In 16 years of power, Angela Merkel did not appoint any of her relatives to a state position.

Germany said goodbye to its leader, physicist and quantum chemist, who was not tempted by fashion or lights and did not buy real estate, cars, yachts and private jets. They came out on their balconies and clapped for 6 minutes, a standing ovation across the country.

She leaves and her loved ones claim no benefits.

For sixteen years, she never changed the style of her wardrobe. At a press conference, a journalist asked Merkel: ''We realize that you are wearing the same suit, don't you have another?» She replied: «I am a civil servant, not a model.»

In another press conference, they asked her: "Do You have a housemaid cleaning your house, preparing food, etc." Her response was: "No, I have no servants or need them. My husband and I do this work every day at home."

Then another journalist asked: "Who is doing the laundry, you or your husband?" Her response was: "I'm fixing the clothes and my husband is the one who runs the washing machine."

Ms. Merkel lives in a normal apartment like any other citizen. She lived in this apartment before being elected Chancellor of Germany. She did not leave it and she does not own a single villa, houses, pools, gardens.

Angela Merkel, the chancellor of Europe's largest economy, will always remain a great example of leadership, driven by values, selfless principles, facts and empathy.

Angela is truly a role model, if only more leaders are like her!
Undugunization hakuna.....pia wanaridhika na walicho nacho.
 
Huyu mama alikuwa na msimamo, alimkatalia Bush pale alipoamua kuvamia Irak bila kupepesa macho.
Sisi tunadanganyana kuwapa uongozi watu wasio na uwezo kisa jinsia ndio maana walipata uongozi wanakimbilia kununua vitu vya anasa.
 
Kwa nchi za wazungu hilo ni kosa wenzetu hao waone hivohivo huko mbugani wakianfalia wanyama.
Sio kweli maana Trump kwenye serikali yake alikuwa ame wateuwa mkwe wake na binti yake ndani ya serikali yake tena kwenye vyeo vikubwa.
Nchi Ufaransa waziri Mkuu ambaye ni shoga baada ya kuidhinishwa kuchukua uongozi huo alimteuwa mme wake au basha wake kuwa waziri wa mambo ya nje.
 
➡️ Naamini hii, kwa kiasi kikubwa, ni propaganda tu na imekuwa ikizunguka mitandaoni humu tangu alipostaafu...na kuna version mbalimbali nyingine zikidai eti hana hata gari wala pensheni! 😳

➡️ Na Trump akamteua binti yake na mkwilima wake kuwa nani vile?

➡️ Na Nyerere miaka 23 ikulu alimteua ndugu yake yupi?

➡️ Ni kila jamii na lwake!

➡️ Ila kwa namna moja au nyingine ndugu na marafiki wa viongozi wa nchi hufaidika sana - directly or indirectly...kwa madili ya kimya kimya ambayo hayatangazwi; na privileges zinginezo nyingi.
 
Yaani ulaya asiwe na ndugu mwenye vigezo? Huyu mama ana ethics , is what happen kiongoz unapokuwa mwadilifu. kitu ambacho mtu mweusi hana
Mkuu uadirifu hauna uhusiano na mtu kutomteuwa ndugu yake kwenye uongozi,anaweza asiwateuwe lakini akawa anachota mabilion ya fedha za walipa kodi ana wapa kuwanufaisha.

Kwahiyo Ulaya kila mtu ana sifa za kuwa kiongozi?
Je kama wapo kwenye fani nyingine?
Alafu kingine unacho takiwa kujua ndani ya Ulaya na nchi nyingi zilizo endelea kwenye siasa ukiachana na umaarufu huwa hakuna maslahi hasa ya kifedha hivyo watu huwa hawazipapatikii kihivyo.
 
Yaani ulaya asiwe na ndugu mwenye vigezo? Huyu mama ana ethics , is what happen kiongoz unapokuwa mwadilifu. kitu ambacho mtu mweusi hana
Mkuu huko Ulaya na Amerika kazi hizi za juu ni kazi za ajira na ujira kwa mujibu wa katiba zao. Huku kwetu kazi hizo hizo ni za fursa ya kufanyia biashara zao, bila kujali yaliyomo kwenye Katiba ya Nchi yake ; wengi wao wapo juu ya KATIBA
 
Ila Trump tuombe sana yule mdudu asichukue uchaguzi huu, ikibidi wampotezee mapema kabda mambo hayajaharibika. Ikibidi, CCM waende kuwapa mbinu democrat jinsi ya kubaki madarakani.
 
Ama hakuwa naye msomi mweledi mwengine kwao au alikuwa mwoga.

FYI, kutomteua siasani haina maana kwamba hawakunufaika na keki ya taifa.

Vipi kama alikuwa wachezaji nje ya uwanja?

Wanaweza kuchotewa mkwanja wa kufa-mtu wakabaki kuendeleza biashara na shughuli binafsi za ndugu yao kiongozi, huku wakilindwa na serikali na kutetewa.
Ujerumani karibia watu wote ni wasomi, huko PhD unasoma bure.
 
Back
Top Bottom