Katika miaka 16 ya uongozi, Angela Merkel hakumteua ndugu yake yeyote katika nafasi ya uongozi serikalini

Wenda hakuwa na ndugu anaye sitaili kuwa kiongozi.
Kiongozi kumteuwa ndugu yake kwenye serikali sioni kama ni tatizo, la msingi awe na vigezo vinavyo hitajika kushika ile nafasi ,maana sidhani kama ndugu yako kuwa kiongozi kunakuondolea sifa na haki kama walizo nazo raia wengine.
Jifunze kitu kinaitwa "conflict of interests",
Kiongozi kumteua ndogo yake kwenye serikali ni tatizo kubwa sana hasa pale ambako hakuna checks za taasisi nyingine kama bunge au vyombo vya usahili.
 
Sio kweli maana Trump kwenye serikali yake alikuwa ame wateuwa mkwe wake na binti yake ndani ya serikali yake tena kwenye vyeo vikubwa.
Hakuna nafasi muhimu ya uongozi marekani inayopatikana bila Senate confirmation/mteuliwa kuthibitishwa kwa kura na bunge la senate. Pia Trump ana tabia zote za viongozi wa Africa walio wengi, bahati nzuri ni kwamba Marekani ina taasisi imara.
 
Nchi Ufaransa waziri Mkuu ambaye ni shoga baada ya kuidhinishwa kuchukua uongozi huo alimteuwa mme wake au basha wake kuwa waziri wa mambo ya nje.
Ufaransa mamlaka ya kuteua mawaziri ni ya Rais.
 
Ila Trump tuombe sana yule mdudu asichukue uchaguzi huu, ikibidi wampotezee mapema kabda mambo hayajaharibika. Ikibidi, CCM waende kuwapa mbinu democrat jinsi ya kubaki madarakani.

Bro uko dunia ipi?
Hivi hujui kuwa Trump tayari ndiyo rais wa Marekani. Kama unabisha nioneshe rais ajaye mwenye nguvu kama Trump. Ikizingatiwa tuna miezi michache tu kabla ya uchaguzi.
 
Hiyo ni nafasi ya kisiasa tu, maamuzi muhimu ya Rais ya Wamarekani yanadhibitiwa na bunge la Congress na Senate.

Sawa, huo ni utaratibu tu wa kuendesha serikali. Lkn suala ni kwamba, hakumteua?
 
Trump ana tabia zote za viongozi wengi wa Africa, aling'ang'ania hadi madarakani aliposhindwa kwa kura.
Pia alitumia cheo chake cha urais kujinufaisha kupitia biashara zake za Hotel.
 
Hamna asiyejua yaliyotokea.
Swali ni hakumteua mkwewe au la!?
 
Anzisha uzi unaomuhusu huyo Macon hapa ni Angela wa ujerumani..kuna mmoja hapo juu kasema wenzetu wanalizika tuje huku kwetu sasa kwa kina Mwigulu Nchebe.
Basi na wewe anzisha Uzi wako wa kunijibu kwa Uzi huu unamhusu Angela
 
Maendeleo si vitu vya kubahatisha lazima uandae human capital yako kwa weledi
 
Attachments

  • IMG-20240416-WA0073.jpg
    IMG-20240416-WA0073.jpg
    24.7 KB · Views: 1
Ethics matters first
In 16 years of power, Angela Merkel did not appoint any of her relatives to a state position.

Germany said goodbye to its leader, physicist and quantum chemist, who was not tempted by fashion or lights and did not buy real estate, cars, yachts and private jets. They came out on their balconies and clapped for 6 minutes, a standing ovation across the country.

She leaves and her loved ones claim no benefits.

For sixteen years, she never changed the style of her wardrobe. At a press conference, a journalist asked Merkel: ''We realize that you are wearing the same suit, don't you have another?» She replied: «I am a civil servant, not a model.»

In another press conference, they asked her: "Do You have a housemaid cleaning your house, preparing food, etc." Her response was: "No, I have no servants or need them. My husband and I do this work every day at home."

Then another journalist asked: "Who is doing the laundry, you or your husband?" Her response was: "I'm fixing the clothes and my husband is the one who runs the washing machine."

Ms. Merkel lives in a normal apartment like any other citizen. She lived in this apartment before being elected Chancellor of Germany. She did not leave it and she does not own a single villa, houses, pools, gardens.

Angela Merkel, the chancellor of Europe's largest economy, will always remain a great example of leadership, driven by values, selfless principles, facts and empathy.

Angela is truly a role model, if only more leaders are like her!
 
Labda hana ndugu
 
Back
Top Bottom