Katika moja ya hotuba Hayati Magufuli alitamka hadharani kuwa walikuwa wana-track simu za mtu ambaye hakumtaja na alithibitisha walipata nakala


Ni lofa na mpumbavu tu asiyejua kuwa msaliti hupigwa
 
Hata asingesema, ila tambua kuwa, simu zetu huwa zipo kwa uchunguzi karibu kila siku na viongozi wetu na wa mataifa ya huko kunakosifika hufanya yaleyale
 
Magufuli uzuri wake alikuwa anasema wazi mambo yake.

Ila kuna watu hata ukiwaambia wazi hawataki kukuamini au wanaleta uchawa tu.
 
Nimefuata press ya Tundu Lissu basi kama ni kweli hawakumtendea haki ,Cha msingi wahusika wawajibije huko ndiko kulipa gharama .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…