Katika nchi 35 zilizokataa kupiga kura suala la Urusi kuvamia Ukraine 50% ni za Afrika, ikiwemo Tanzania

Umemaliza kila kitu[emoji4][emoji106]
 

tanzania iko sawa kabisa mtoa mada acha mapenzi ya kuipenda amerika
 
Sisi tupo kwenye nchi zisizofungamana na upande wowote..kosa liko wapi hapo?
Kosa lipo kwamba huelewi maana ya kuwa kwenye nchi zisizofungamana na upande wowote. Sikiliza tena video ya clip.

Wakati tulipokuwa tunasaidia South Afrika kupigana na makaburu, ambapo silaha zote na kombat zilitoka Urusi kupitia kwetu, tulikuwa tunafungamana na upande wa Urusi? Maana ni kipindi hicho tulipotamka kutofungamana na upande wowote. Kwa hiyo huelewi maana ya nchi zisizofungamana na upande wowote.
 
You have surrendered your freedom and dignity, you are not fit to be called a human being
Shida mtamlaumu mrussi ila kuna siku mtashindwa kumlaumu mmarekani siku moja.watanzania na waafrika tuna tatizo la kuwapapatikia wazungu.,na tuna mahaba na America.zilivamiwa nchi nyingi sana mkakaa kimya.imefika mahali nchi za kiarabu zikivamiwa mnasherehekea.ninachoshukuru safari huo wamevamiana wazungu.ILA WENGI HUMU WAKAPIMWE AFYA YA AKILI KWA UNAFIKI WA KUBAGUA UTU.
 
Shitholes ni zile holes za kiume zinazotinduliwa na ya trump labda ilishatinduliwa maana ni tamaduni zao.
 
Mkuu kuna watu wanajifanya wanajua ila wasenge tu.
 
Waambie Rwanda, Kenya, Zambia nk waliopiga kura kuwapinga Urusi. Tuone basi itakuwaje kwao. Tuwe waoga hadi makalioni?
Wenzako wamepiga kula ili kuendelea kulamba misaada ya USA na West na sio kwaajili ya utu
 
Kila wakati mko na huyu Laanatullahi Nyerere?
Mbona yeye aliivamia Zanzibar na kuuwa maelfu ya watu, na kujiweka Zanzibar katika konto lake aliloliita Tanzania?
 
Mgogoro wa RUSSIA & UKRAINE Chanzo chake ni kipi hasa?
 
Usiwe mbiga, vita hivyo havikuhusu!!!
 
Tanzania haijawahi kufungamana na upande wa "mabeberu" wakiongozwa na Marekani. Tanzania ni nchi inayoamini katika itikadi ya "ujamaa" ambayo ni socialism na communism. Ambayo ni itikadi kuu ya Urusi na China. Kwahiyo hata kama hatutosema waziwazi tupo upande gani, lakin wajuvi wa mambo wanajua tupo kambi gani..sema tunashindwa kujipambambanua kwasababu ya umasikini wetu. Ficha ujinga wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…