Katika nchi zinazopenda dini duniani, Tanzania ipo nafasi ya tano

Utafiti ulifanyika,watu wakaulizwa kama dini ni ya maana katika maisha yao;
Ya kwanza ni
1.Indonesia.
2. Senegal
3. Pakistan
4. Mali
5. Tanzania.
Waliofanya utafiti wanaitwa Pew Research Center
Kupenda dini au Mungu?

Wanadamu wamegeuza dini mungu wao na kufuata maelekezo ya dini na siyo ya Mungu
 
5. Tanzania.
Wanaotuharibia ni hao wa Kiembembuzi



 
Utafiti ulifanyika,watu wakaulizwa kama dini ni ya maana katika maisha yao;
Ya kwanza ni
1.Indonesia.
2. Senegal
3. Pakistan
4. Mali
5. Tanzania.
Waliofanya utafiti wanaitwa Pew Research Center
Tanzania kuna watu wameshika dini kuliko walioileta.

Tanzania kuna watu ni wakatoriki, Ujerumani & Italy zinasubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…