Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 1,912
- 2,254
Mi Tanzania ya kwanza ndo zifuate zingineUtafiti ulifanyika,watu wakaulizwa kama dini ni ya maana katika maisha yao;
Ya kwanza ni
1.Indonesia.
2. Senegal
3. Pakistan
4. Mali
5. Tanzania.
Waliofanya utafiti wanaitwa Pew Research Center