Katika nchi zinazopenda dini duniani, Tanzania ipo nafasi ya tano

Utafiti ulifanyika,watu wakaulizwa kama dini ni ya maana katika maisha yao;
Ya kwanza ni
1.Indonesia.
2. Senegal
3. Pakistan
4. Mali
5. Tanzania.
Waliofanya utafiti wanaitwa Pew Research Center
Mi Tanzania ya kwanza ndo zifuate zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…