Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
NdiiyoooooooWanaokubaliana na hili bandiko tuseme ndiiyoooooooo(kama bungeni).
Nahic ww ni type ya mwanamke anayelalamikiwa hapa.Yan wale ma wanawe ngangari kama land rover.Wewe licha ya kuwa na mchepuko huna furaha daily kuanzisha Uzi ujifariji eti anakuita Ila machungu hayakuishi, siku ukijua duniani jukumu kakujipa furaha ni lako na sio la mke au mchepuko stress zitakuisha. Kaa chini utoe stress na mkeo zitakuua, I'm sure ukitoka kwa mchepuko hafu urudi nyumbani stress upya, pia napenda mkeo anavokufanyia yeye si mjinga.
Usipoondoa na ku solve tatizo na mkeo pressure itakuua wallah
Unaongea sababu wewe ni mwanamke.Wewe licha ya kuwa na mchepuko huna furaha daily kuanzisha Uzi ujifariji eti anakuita Ila machungu hayakuishi, siku ukijua duniani jukumu kakujipa furaha ni lako na sio la mke au mchepuko stress zitakuisha. Kaa chini utoe stress na mkeo zitakuua, I'm sure ukitoka kwa mchepuko hafu urudi nyumbani stress upya, pia napenda mkeo anavokufanyia yeye si mjinga.
Usipoondoa na ku solve tatizo na mkeo pressure itakuua wallah
Kuna mwanamke mmoja rafiki wa mke wangu alikuwa hajatulia kabisa, mke wangu akaanza kubadilika mara anijibu vibaya , mara atake vitu vya gharama kuliko uwezo wangu n.k.Wewe licha ya kuwa na mchepuko huna furaha daily kuanzisha Uzi ujifariji eti anakuita Ila machungu hayakuishi, siku ukijua duniani jukumu kakujipa furaha ni lako na sio la mke au mchepuko stress zitakuisha. Kaa chini utoe stress na mkeo zitakuua, I'm sure ukitoka kwa mchepuko hafu urudi nyumbani stress upya, pia napenda mkeo anavokufanyia yeye si mjinga.
Usipoondoa na ku solve tatizo na mkeo pressure itakuua wallah
Mkuu ungekomaa na mkeo ili mradi km mzigo alikuwa anakupa hata km ni kwa mbinde.Mi naona huyu mwanamke ananisumbua nimeamua kumuongeza mwengine ili akili imkae sawa ( tatizo hutatuliwa kwa tatizo)
Nalog off
πππ Nimechoka kupewa kwa kijiko,ili kutatua tatizo hili ndio nikaongeza mwengineMkuu ungekomaa na mkeo ili mradi km mzigo alikuwa anakupa hata km ni kwa mbinde.
Umenifurahisha,uliposema ulimzibua,akakupa huku analia, na ukapewa ushirikiano.[emoji23][emoji23][emoji23] Nimechoka kupewa kwa kijiko,ili kutatua tatizo hili ndio nikaongeza mwengine
Nalog off
Kuna mwanamke mmoja rafiki wa mke wangu alikuwa hajatulia kabisa, mke wangu akaanza kubadilika mara anijibu vibaya , mara atake vitu vya gharama kuliko uwezo wangu n.k.
Nikajua yule rafiki yake ameanza kuniharibia mke wangu, kwasababu najua dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie, na yule rafiki yake anapenda hela nilifanya kila njia nikamtongoza akanikubalia baada ya kula hela zangu kadhaa, sikutaka kumla na sikumla.
One day nilichat naye ni tukaahidiana ananipa mzigo jumamosi, basi zile chatting sikuzifuta na ile jumamosi asubuhi niliacha simu bila password nikijua wife akigundua hakuna password atasoma sms kadhaa.bwana eeh kweli akaja kuona sms za rafiki yake, urafiki wao ukaisha now ni paka na panya. Hata mashoga zake mtaani siwaoni Wakija home.
Nilimuomba msamaha nadhani alinisamehe haraka sababu alijua sikuwa kumla rafiki yake