Habari za wakati huu wataalam..
Hii ndiyo hesabu kamili ya jina la "JESUS" na jawabu lake ambalo huwa '
666' katika numerology.
Kumbuka 666 ina idadi au thamani ya namba 9 ambapo 6+6+6 = 18, 1+8= 9
Hivyo tunatumia namba
9 kuzidisha kwa kila namba za herufi ya jina husika.
List ya A-Z ipo kwa lengo la kupata namba ambazo hutambulisha herufi za jina husika katika kukokotoa.
View attachment 3061449
Hayo ni maajabu ya namba 9 katika numerology, lakni sidhani kama jawabu hili limekuja kwa bahati mbaya, nadhani ipo sababu.
Kwa wataalamu wa numerology,
hii ni Coincidence au ilipangwa iwe hivyo na waliotunga hilo jina?