Katika numerology, jina la JESUS lina idadi sawa na namba '666'

Katika numerology, jina la JESUS lina idadi sawa na namba '666'

Namba za kufungulia code za Numerology Ni 3,6 na 9

Nimetumia 9 kwasababu ni namba kuu ambayo inaendana na ukuu au cheo cha juu, hata 666 ina thamani ya 9
Mbona Pythagorean numerology ana Cadean numerology haielekezi hivyo?
 
Katika numerology, kuzidisha kwa 9 si jambo la kawaida au la lazima. Numerology kwa kawaida inajumuisha kuongeza tarakimu za namba hadi upate tarakimu moja, au kwa namba kuu, hadi upate 11, 22, au 33. Hii inaitwa kupunguza tarakimu (digit reduction).
Hiki ndicho kinachojulikana Mkuu.
 
Habari za wakati huu wataalam..

Hii ndiyo hesabu kamili ya jina la "JESUS" na jawabu lake ambalo huwa '666' katika numerology.

Kumbuka 666 ina idadi au thamani ya namba 9 ambapo 6+6+6 = 18, 1+8= 9

Hivyo tunatumia namba 9 kuzidisha kwa kila namba za herufi ya jina husika.

List ya A-Z ipo kwa lengo la kupata namba ambazo hutambulisha herufi za jina husika katika kukokotoa.

View attachment 3061449

Hayo ni maajabu ya namba 9 katika numerology, lakni sidhani kama jawabu hili limekuja kwa bahati mbaya, nadhani ipo sababu.

Kwa wataalamu wa numerology,
hii ni Coincidence au ilipangwa iwe hivyo na waliotunga hilo jina?
Umekosa kazi za kufanya mkuu 🤣🤣🤣
 
Mbona Pythagorean numerology ana Cadean numerology haielekezi hivyo?
Hata Nikola Tesla njia zake zinaongozwa na namba 3,6,9.... Hiyo ni key to the Universe na ni namba maalumu kwaajili ya kufungulia code za majina au vitu vinavyo husiana na ukuu au utukufu
 
Hata Nikola Tesla njia zake zinaongozwa na namba 3,6,9.... Hiyo ni key to the Universe na ni namba maalumu kwaajili ya kufungulia code za majina au vitu vinavyo husiana na ukuu au utukufu
Master number katika Pythagorean ni 11, 22 na 33.
Hao akina Nikola ni kama walikaa juu ya msingi wa Pythagoras..mbona kanuni haielekezi kuzidisha kwa 9 kama jambo la lazima?..
Tupe elimu taratibu Mkuu
 
Master number katika Pythagorean ni 11, 22 na 33.
Hao akina Nikola ni kama walikaa juu ya msingi wa Pythagoras..mbona kanuni haielekezi kuzidisha kwa 9 kama jambo la lazima?..
Tupe elimu taratibu Mkuu
Kuzidisha kwa 9 sio lazima, inategemea na Energy ya jina husika
 
Katika numerology, namba 666 inaweza kutazamwa kwa njia kadhaa kulingana na muktadha na tafsiri mbalimbali za kiroho na kisayansi:
  1. Kupunguza Tarakimu: Katika numerology, namba 666 inapunguzwa hadi namba moja kwa njia ifuatayo: 6 + 6 + 6 = 18, kisha 1 + 8 = 9. Kwa hivyo, namba 666 inapunguzwa hadi namba 9.
  2. Namba 9: Namba 9 inaashiria ubinadamu, huduma kwa wengine. Watu wanaoathiriwa na namba 9 mara nyingi wana moyo wa kuwasaidia wengine na wana hisia kali za haki na huruma.
  3. Namba 6: Kwa kuwa 666 ina 6 tatu, namba 6 ni muhimu kuelewa pia. Namba 6 inahusishwa na upendo, familia, uwiano, na uwajibikaji. Inawakilisha huduma kwa wengine na kujenga mazingira ya upendo na msaada.
  4. Tafsiri za Kiroho: Katika baadhi ya muktadha wa kiroho na kidini, namba 666 imekuwa na tafsiri hasi, hasa katika Ukristo ambapo inajulikana kama "namba ya mnyama" katika Kitabu cha Ufunuo. Hata hivyo, hii ni tafsiri maalum na si ya lazima iwe na maana hasi katika numerology.
Katika muhtsari, wakati namba 666 inapunguzwa katika numerology, inakuwa namba 9, ambayo inaashiria ubinadamu na huduma kwa wengine. Hii ni tafsiri chanya na inayoonyesha uwezo mkubwa wa kuleta mabadiliko mazuri katika maisha ya wengine.
Maarifa ya numerology yanataja namba zenye nguvu zaidi ni 11,22 na 33 najiuliza tu Kwa nini 9.
 
Nenda kajifunze maana ya Numerology Kwanza ndyo uje tubishane
Ww kks tu zilikushinda leo unajifanya unajua numerology 😂😂
Hakuna formula ambayo haina reason behind niambie 18 inakuwaje 1+8 kwa principles zako za kimahesabu
 
Ww kks tu zilikushinda leo unajifanya unajua numerology 😂😂
Hakuna formula ambayo haina reason behind niambie 18 inakuwaje 1+8 kwa principles zako za kimahesabu
IMG_20231024_150111.jpg

1+8=9
 
Back
Top Bottom