Katika numerology, jina la JESUS lina idadi sawa na namba '666'

Katika numerology, jina la JESUS lina idadi sawa na namba '666'

Lengo la kutumia au kuweka jina la JESUS ni kuonyesha kwamba kuna tatzo katika jina hili, ni vyema kutumia majina ya asili kwenye maswala ya Kiimani.

Mfano mzuri ni waislamu, wao wanatumia majina halisi ya viongozi au waasisi wao, mfano Muhamad ni jina ambalo linatumika mataifa yote pasipo kuwa na tafsiri yoyote.

Pia sio vyema kutumia neno 'GOD' kwani nalo lina utata na ipo siku nitaleta uzi kuhusu jina hilo.
Tatizo gani? Yaani kubuni uwongo na kuuleta humu ndiyo kuonyesha tatizo la jina Jesus? Inakuwa neno kutoka lugha ya asili lisiwe na tatizo na tatizo lichukuliwe kwenye translation. Pili, value ya herufi e au E imetolewa kutoka lugha gani ili kuleta jumla ya namba 666 iliyoandikwa kwenye Biblia?
 
Sijatumia namba 666 ambayo ipo katika Biblia, kwanza hata sijui ni andiko gani linasema hiyo namba

Tatizo ambalo lipo ni sawa na tatizo ambalo linahusu watu kutengeneza picha ya Yesu vichwani mwao kwa kumfananisha na yule muigizaji katika sinema ya Yesu.
 
ukianza na Jibu "666" mbona unaweza tengeneza hesabu yoyote ile na jibu likawa hilo
 
Sijatumia namba 666 ambayo ipo katika Biblia, kwanza hata sijui ni andiko gani linasema hiyo namba

Tatizo ambalo lipo ni sawa na tatizo ambalo linahusu watu kutengeneza picha ya Yesu vichwani mwao kwa kumfananisha na yule muigizaji katika sinema ya Yesu.
Kwa nini hukutumia asili ya neno la Kigiriki 'Ieosus' na badala yake umetumia lugha ya translation 'Jesus' ambacho ni Kilatini? Pia, hizo namba ulizotumia zinatokana na lugha gani?
 
Kwa nini hukutumia asili ya neno la Kigiriki 'Ieosus' na badala yake umetumia lugha ya translation 'Jesus' ambacho ni Kilatini? Pia, hizo namba ulizotumia zinatokana na lugha gani?
Katika numerology namba zote ni sawa na hazibagui Lugha, nimetumia jina la JESUS kwani ndilo ambalo lina tatizo na sio hayo majina mengine
 
Habari za wakati huu wataalam..

Hii ndiyo hesabu kamili ya jina la "JESUS" na jawabu lake ambalo huwa '666' katika numerology.

Kumbuka 666 ina idadi au thamani ya namba 9 ambapo 6+6+6 = 18, 1+8= 9

Hivyo tunatumia namba 9 kuzidisha kwa kila namba za herufi ya jina husika.

List ya A-Z ipo kwa lengo la kupata namba ambazo hutambulisha herufi za jina husika katika kukokotoa.

View attachment 3061449

Hayo ni maajabu ya namba 9 katika numerology, lakni sidhani kama jawabu hili limekuja kwa bahati mbaya, nadhani ipo sababu.

Kwa wataalamu wa numerology,
hii ni Coincidence au ilipangwa iwe hivyo na waliotunga hilo jina?
Hili jina la JESuS lina upungufu nini mbona jina lile lile YESU haileti hesabu hizo
 
Nmekaa kutafakari eti unazidisha kwa tisa 9, hiyo 9 inapatikanaje na kwanini isiwe 8.
 
Nmekaa kutafakari eti unazidisha kwa tisa 9, hiyo 9 inapatikanaje na kwanini isiwe 8.
Katika numerology namba ambazo zinatumika kama ufunguo (The key to the Universe) ni 3,6 na 9.

Tumetumia 9 kwasababu ni namba kuu na inahusiana na ukuu au cheo cha juu,

Hata namba 666 ambayo inahusiana na mkuu fulani, ina usawa wa 9.
 
Kwa nini umechagua jina la Yesu la Kingereza? Au Kingereza ni lugha ya mbinguni kama Kiarab? Navyoona bado haujamaliza homework yako. Kafangie kazi na haya majina ya Yesu kwenye lugha nyingine:

1. Hebrew Jesus ni Yeshua (יֵשׁוּעַ)
2. Kiswahili Jesus ni Yesu
3. Kiarab (Islam) ni Jesus ni Isa (عيسى)
4. Kiarab (Christian) Jesus ni Yasu (يسوع)
5. Amharic Jesus ni Iyesus (እየሱስ።)
6. Aramaic/Syriac Jesus ni Ishi (ܝܫܘܥl)

Sasa hebu tupe numerology kwa hayo majina mengine.
Unaakili sana mkuu, niliwaza the same
 
Una kitu utafika mbali hasa Jehanam ya moto

Hiyo ni Roho ya mpinga Kirsto.
 
Back
Top Bottom