Katika numerology, jina la JESUS lina idadi sawa na namba '666'

Hamna upuuzi nimewahi kuuona kama huu tangu nimezaliwa
Vizuri kabisa, sio vibaya kuchelewa kujua jambo, huwezi kujua kila kitu, kama upo interested unaweza kujifunza au kuchunguza zaidi.
 
Napataje interest bila kujua faida zake nipe kwanza faida
Mimi nafanya tafiti zangu kwa lengo la kupanua uwezo wa kujua na kuelewa mambo, sina lengo au faida nyingine ninayo itaka.
 
Maswali yako hayana msingi, kama unataka kujua zaidi jifunze kama hutaki sio lazima.
Ukiona huwezi kujib maswali kama hayo jua unampoteza muda tu kufuatilia vitu kama hivyo

Ulishindwa kusoma hesabu sa iz unadanganywa unakubali kirahisi
Et 18=1+8 😂😂😂😂
 
Endelea kazana kumjua Yesu ili mwisho wa siku ikiwa utaondoka duniani hujatubu basi ile kwako maana atakuambia jinsi alivyojifunua kwako wewe ukaishia kumtungia uwongo hapa JF
 
Endelea kazana kumjua Yesu ili mwisho wa siku ikiwa utaondoka duniani hujatubu basi ile kwako maana atakuambia jinsi alivyojifunua kwako wewe ukaishia kumtungia uwongo hapa JF
Wapi kwenye uzi nimetaja jina la Yesu?
 
Umejifunza nn mkuu naomba unieleweshe na mm
Nimefuatilia majibu ya mleta uzi pamoja na rejeleo alilotumia ambalo bila shaka sikuwahi kupitia andiko hilo licha ya kufuatilia sana na kujifunza juu ya numerolojia.
Ninaifungua akili yangu siyo kuafiki juu ya ukweli au siyo ukweli ila kukubali kujifunza zaidi ova Mkuu.
 
Aaaaah you people sijui mnashida gani
Hizo ni hesabu tu kama hesabu zingine usikute hata majina yako ukifuatilia kwa undani zaidi ni ya kishetani
 
umaskini ni mbaya sana

Jaribu kilimo cha matikiti utanikumbuka
 
Aaaaah you people sijui mnashida gani
Hizo ni hesabu tu kama hesabu zingine usikute hata majina yako ukifuatilia kwa undani zaidi ni ya kishetani
Wapi nimesema au kuhusisha jina lolote na ushetani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…