Katika numerology, jina la JESUS lina idadi sawa na namba '666'

Namba za kufungulia code za Numerology Ni 3,6 na 9

Nimetumia 9 kwasababu ni namba kuu ambayo inaendana na ukuu au cheo cha juu, hata 666 ina thamani ya 9
Nmegundua haujui, Na inabidi ukiri kuwa haujui
 
Mkuu Rabbon msaada Hapo kwenye hamashiach ni jina geni kwangu
 
Hebu piga hesabu ya 1. IESUS 2. YESU 3.ISSA
Halafu tujuze jibu πŸ™‚
 
Numerology ina misingi yake
*Lazima ujuwe kuhusu root number
*Lazima ujuwe kuhusu master number
*Numerology ina addition na reduction hakuna kuzidisha wala kugawanya
*Namba yoyote lazima irudishwe katika root number isipokuwa kwa master namba tu.
 
tupe na mlinganisho na jina YESU kama hesabu zake zinaendana na hizo za JESUS. Pia tupe na hesabu za YEHOSHUA maana ndivyo anavyoitwa kwa KIYAHUDI tuone kama hesabu zako zinaendana.
 
tupe na mlinganisho na jina YESU kama hesabu zake zinaendana na hizo za JESUS. Pia tupe na hesabu za YEHOSHUA maana ndivyo anavyoitwa kwa KIYAHUDI tuone kama hesabu zako zinaendana.
Hesabu haziwezi kuendana kwa majina tofauti yeye herufi tofauti
 
Numerology ina misingi yake
*Lazima ujuwe kuhusu root number
*Lazima ujuwe kuhusu master number
*Numerology ina addition na reduction hakuna kuzidisha wala kugawanya
*Namba yoyote lazima irudishwe katika root number isipokuwa kwa master namba tu.
Root number na master number ni zipi katika Numerology?
 
Root number na master number ni zipi katika Numerology?
Root number ni 1,2,3,4,5,6,7,8,9
Master number ni 11, 22 na wakati mwingine 33
Mfano
*root number
Unapo jumlisha namba za herufi na kupata 23 hiyo haiwezi kubaki kama ilivyo cha kufanya ni
23=2+3=5

*Master number
Lakini ukijumlisha namba za herufi na kupata 11, 22, 33 hizo zitabaki kama zilivyo maana hizo ni namba zenye sifa maalum

Kwa hizi herufi za kiingereza na kiswahili thamani ya namba inafuata utaratibu huu
1 2 3 4 5 6 7 8 9
A B C D E F G H I
J K L M N O P Q R
S T U V W X Y Z
 
Usiaminishe watu ujinga wakatilia shaka imani yao
Hata hili jina hapo lina jumla ya hesabu hiyo hiyo ya 666
 
Attachments

  • PXL_20240821_152919228.RAW-01.COVER.jpg
    1.2 MB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…