Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Zile story kusema Nduli anakula nyama watu, sijui aliwatupa sijui viwete mtoni waliwe na mambaKumbe hakuna mbaya?
Tuliaminishwa zaidi mabaya yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile story kusema Nduli anakula nyama watu, sijui aliwatupa sijui viwete mtoni waliwe na mambaKumbe hakuna mbaya?
Nyenyere alikua na propaganda chafu sana akiamua kukunyea utanuka vizazi vyoye hata uogee acid.NDULI IDD AMINI tuliaminishwa ni mtu mbaya sana hapa Tz
Ila Nyerere 😃
Ni kawaida ya wachawi, hutudharau sana tusiojua kushika tunguli.Ila Mobutu anaonekana alikuwa na madharau sana, Tizama picha yake tena
Kaulizie Uganda utupe jibu sahihiZile story kusema Nduli anakula nyama watu, sijui aliwatupa sijui viwete mtoni waliwe na mamba
Tuliaminishwa zaidi mabaya yake
NDULI IDD AMINI tuliaminishwa ni mtu mbaya sana hapa Tz
Ila Nyerere 😃
Kama jambo hulijui,bora unyamaze!Nyenyere alikua na propaganda chafu sana akiamua kukunyea utanuka vizazi vyoye hata uogee acid.
Amewachafua wengi sana tukawachukia bure kisa tu walipishana mitazamo.
Mkuu sasa kaskilize nyimbo moja ya mwana FA inaitwa Gwiji.Kuku Ngbendu Wazabanga
😇😇😇my two idols on same frame