Katika picha Dikteta Mobutu vs Nduli Iddi Amin Dada nani katokelezea zaidi

NDULI IDD AMINI tuliaminishwa ni mtu mbaya sana hapa Tz


Ila Nyerere πŸ˜ƒ
Nyenyere alikua na propaganda chafu sana akiamua kukunyea utanuka vizazi vyoye hata uogee acid.

Amewachafua wengi sana tukawachukia bure kisa tu walipishana mitazamo.
 
Wote walitumia uchawi kutawala watu,tunguli ndo ziliwapa kiburi
 
Mobutu alikua bishoo sana yule ni maana halisi ya Mcongo alikua anatupia dunia hakuna achana kabisa na papaa marchel
 
kuna mmoja hapo alimuandikia malkia wa uingereza barua ya mtongozo kwa kiingereza yakibabe sana..πŸ˜‚
 
Idd Amin hapo kwenye suluali kwenye Kijiji kama amelowana frani hvii
 
Hakuna Dikteta hapo...sema tu ni hisia za wakati ule...mbona aliyepo kule kwa Nduli bado yupo mpaka leo....Nani Dikteta kati ya Amin na aliyepo...?
Kwanini wakati wa Mobuto Zaire/Congo ilikuwa na amani..kwanini leo amani ya Congo/Zaire ni ya kuunga UNGA...?
 
Nyenyere alikua na propaganda chafu sana akiamua kukunyea utanuka vizazi vyoye hata uogee acid.

Amewachafua wengi sana tukawachukia bure kisa tu walipishana mitazamo.
Kama jambo hulijui,bora unyamaze!
Kaulize Wahindi nq viwete wa Uganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…