TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Ukiona hiyo nembo popote duniani ujue upo nao eneo hilo au ukute kijana wako kavaa gwanda lao labda kanunua mtumbani ujue anawakilisha hao wajuba.
Wanakula kiapo cha utiifu kabla ya kuingia kazini.
Wakiwa kazini na behind ni baada ya kumaliza attack two.
Mission za hawa jamaa kuna nchi afrika haziwezi kugusa.
Nilipomuona huyu jamaa nilidhani mwanajeshi wa taifa flani kubwa kumbe ni wa kikundi cha kukodishwa Wagner Group.
NB; PMC WG ni kundi siyo jeshi ila lina hadhi sawa na majeshi ya nchi kadhaa duniani na wana missions kali kuliko baadhi ya nchi kama si zote za Afrika.