Katika Picha hawa ni PMC Wagner Group, kikundi tishio kwenye medani za vita.

Katika Picha hawa ni PMC Wagner Group, kikundi tishio kwenye medani za vita.

unawajua alqaeda au is??
Mkuu usichanganye vikundi vya kigaidi na vikundi vya kampuni.

IS ni kundi la kigaidi na hata kujiunga kwake, mafunzo hata sehemu ya kurecruit watu wao haifahamiki.

Hawa WG wapo wazi sana japo wana mambo yao mengine €¢¥÷{=#&😳
 
Hilo ni jeshi kamili japokuwa linamilikiwa na mtu binafsi lkn ni jeshi kamili ambalo Lina Kila idara , Hawa ndo wapo Libya , Africa ya kati , Syria, na maeneo yote Ambayo mnaona urusi inatuma askari wanaoenda sio jeshi la urusi Bali ni hao Wagner group, hao Wana askari 80,000 na wanafanya KAZI chini ya jeshi la Russia na wanafuata Sheria zote za Russia
 
Unajua maana ya jihad.
Wanachofanaya magaidi wanapeleka wajinga kuumiza wengi wao wapo mbali.
Mbona ujerumani kipindi cha adolf mambo kama.haya alishafanya kuwaweka front ukirudi ni kulamba risasi
Jihad maana yake juhudi
 
Back
Top Bottom