Na hao walevi vibaka na wafungwa ndio wanao wasumbua Ukraine poland na NATO huko kwa mr ZELENSKYPicha za wapiganaji ila wanaopigana wenyewe ni wafungwa,waliochoka ,walevi,vibaka,watu watamaa na n.k
Usiamini picha sana ata wema akijifuta mekup utamkimbia.
Tofauti mkuu,Suma jkt ni kampuni binafsi ya ulinzi chini ya JKT. Hawa Wagner ni jeshi la kivita la kukodi.Kwwhyo hawa ni kama SUMA JKT tu?
Unajua maana ya jihad.Na hao walevi vibaka na wafungwa ndio wanao wasumbua Ukraine poland na NATO huko kwa mr ZELENSKY
Hahahahhahaha si aibu hiyo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hao wajinga si ndio wanawasumbua huko uwanja wa vita mpaka Mr Old man hatulii kila kitu kwake kimekua cha motoUnajua maana ya jihad.
Wanachofanaya magaidi wanapeleka wajinga kuumiza wengi wao wapo mbali.
Mbona ujerumani kipindi cha adolf mambo kama.haya alishafanya kuwaweka front ukirudi ni kulamba risasi
unawajua alqaeda au is??View attachment 2534391
Ukiona hiyo nembo popote duniani ujue upo nao eneo hilo au ukute kijana wako kavaa gwanda lao labda kanunua mtumbani ujue anawakilisha hao wajuba.
View attachment 2534392
Wanakula kiapo cha utiifu kabla ya kuingia kazini.
View attachment 2534393
Wakiwa kazini na behind ni baada ya kumaliza attack two.
View attachment 2534396
Mission za hawa jamaa kuna nchi afrika haziwezi kugusa.
View attachment 2534397
Nilipomuona huyu jamaa nilidhani mwanajeshi wa taifa flani kubwa kumbe ni wa kikundi cha kukodishwa Wagner Group.
NB; PMC WG ni kundi siyo jeshi ila lina hadhi sawa na majeshi ya nchi kadhaa duniani na wana missions kali kuliko baadhi ya nchi kama si zote za Afrika.
send applications for jobs at the head office to bewerbungen@wagner.de.Koneksheni ya kuwa member wa wagner ikoje?
send applications for jobs at the head office to bewerbungen@wagner.de.Leta utaratibu wa kujiunga na hicho kikundi.
Leta utaratibu wa kujiunga na hicho kikundi.
send applications for jobs at the head office to bewerbungen@wagner.de.