Hilo ni jeshi kamili japokuwa linamilikiwa na mtu binafsi lkn ni jeshi kamili ambalo Lina Kila idara , Hawa ndo wapo Libya , Africa ya kati , Syria, na maeneo yote Ambayo mnaona urusi inatuma askari wanaoenda sio jeshi la urusi Bali ni hao Wagner group, hao Wana askari 80,000 na wanafanya KAZI chini ya jeshi la Russia na wanafuata Sheria zote za Russia