Katika Picha: Maandamano ya wanahabari Leo

Katika Picha: Maandamano ya wanahabari Leo

Status
Not open for further replies.
Jana nilijua kua Mkandara na MMJ wamekupa kichwa na leo utaupanda mkenge mbona leo hutukani? Jaribu uone kizee wewe miaka 60 utafikiri umezaliwa jana, maneno ya nonesense tupu, hoja huna nimekuambia siku nyingi sana kwamba wewe as far as siasa ya bongo huna hoja nzito hata siku moja kujifnaya kiingereza maneno makubwa lakini ndani hewa tupu!

Ulipoanza ulifikiri nitakuacha? Umeanza mimi ninajibu tena kiroho mbaya jana nilikupa break ukadhani sasa kila siku, peleka ukikongwe wako huko, Tanzania tuachie sisi raia wake am,bao tuna nafasi ya kuiongoza wewe huwezi tena maana sio raia wetu, nenda huko mkongwe wa hedi wewe, peleka uzee wako mtu mzi a kujifanya mtoto, ili iwe nini? Mwanaume mzima mpaka kujifanya mwanamke ili? jitu zima hovyooooo!

nakuambia unayejifanya ni wewe. Kwa taarifa yako wewe sina ya shida ya uongozi, namuongoza mume wangu na wanangu.........nikuongoze arrogant kama wewe nitawezea wapi,

ni wewe unayejifanya much know...kuwa wanijua mie mwanaume............kweli wewe hukubali kubadili tabia hii ni karne ingine wewe.
 
yaelekea uizaliwa siku mvua ya radi inanyesha, basi unaona hakuna mwingine kama wewe........ni wewe tu na aendaye opposite na wewe ana chuki na wivu, you should take that out of your mind, blood and brain.

UTAKUWA ULILOGWA NA MCHAWI WAKO ALISHAKUFA.

Lo sasa unaleta ya uchawi? Kumbe una uchawi ndio maana una roho ya kutu kumbe mchawi? Haya niloge sasa nione?

Opposite na hoja ni vitu viwili tofauti, angalia hoja zako kwenye post yako niliyoijibu ulifikiri nitakuachia, jana sio leo bro, kama unataka heshima jiheshimu, otherwise nitakujibu kama kawaiada,

Huo wivu wako na chuki binafsi hazinisumbui hata kidogo, unapoteza muda wako na unajua maana in the ral life umeshindwa sasa hapa utafanya nini zaidi tu ya kelele za mlango? Kujifanmya kujua kumbe bure huna kitu haya nedna peleka majina yko kule kwa Max, kuwa unaonewa!
 
Hayo dataz yamekushinda, ya credibility yamekushinda, sasa unalia kwua ninajua sana, views zako hakuna anyekukataza ila huwezi kutoa viwew za kunichokoza nitakujibu kama kawa, kama fuse inakua wrong mtumzima mwanaume miaka 60 mapengo kinywani anapojiita mwanamke, then something is very wrong sio uongo!

NANI KAKUCHOKOZA WEWEEEE, wa kuchokozwa utakuwa wewe, kwa nini hasa ulichokuwa nacho, hiyo ARROGANCE NA EGO.

umeshajulikana , ungekuwa na credibility ungeleta PRIVATE MESSAGES HUMU, na siri za watu wengine wamekuchagua kuconfide nao unaleta siri hizo humu. I wonder kwa nini waendelee kuconfide na wewe, ndio nyie nyie mnaosababisha JF inafungwa kwa tabia ya kuuma na kupuliza halafu unajidai una dataz na credibility...

I AM A WOMAN kwa taarifa yako. Hayo majina ni yako wewe, na uache watoto wa wenzio wachangie humu. Wanashindwa kuchangia kwa sababu ya arrogance na ego uliyonayo. Ungekuwa founder wa JF wewe sijui kama wengine tungechangia, UNGESHATUBAN kwa roho yako mbaya halafu unasema wenzio ndio wana roho mbaya na wivu.

Vijana wadogo wanafanya critical analysis wewe unang'ang'ania i know, i know, i know.

.
 
Lo sasa unaleta ya uchawi? Kumbe una uchawi ndio maana una roho ya kutu kumbe mchawi? Haya niloge sasa nione?

Opposite na hoja ni vitu viwili tofauti, angalia hoja zako kwenye post yako niliyoijibu ulifikiri nitakuachia, jana sio leo bro, kama unataka heshima jiheshimu, otherwise nitakujibu kama kawaiada,

Huo wivu wako na chuki binafsi hazinisumbui hata kidogo, unapoteza muda wako na unajua maana in the ral life umeshindwa sasa hapa utafanya nini zaidi tu ya kelele za mlango? Kujifanmya kujua kumbe bure huna kitu haya nedna peleka majina yko kule kwa Max, kuwa unaonewa!

NAONEWA NINI HAPA, jamani anainama anainuka anaona haya huyoo, uache UARROGANT WAKO.
 
Wewe ndio jizee mwenye mawazo mgando...kuishi kwa dhana...dhana...karne ya ishirini ni karne ya ishirina na moja. Kama umezoea kuabudiwa ni huko nyumbani kwako...kamhodhi mkeo na wanao mwanaharamu wewe...........wewe kujiita Field Marshal ndio kuhodhi akili ya kila mtu, hodhi ya hao hao lakini si yawote malaya wa habari wewe!

Hivi ulenda jando wewe? nina wasiwasi hilo ndilo linalokusumbua.

Unakuwa mwanaharamu unapookotwa na kutunzwa na wanajeshi Lugalo, mke na wanangu hawakuhusu kama vile mke na wanao walivyohawanihusu, wewe pia huwezi kuhodhi akili yangu maana iko safi na haina noma, wewe umeanza mimi nimejibu sasa mapovu yako hayanitishi, maana huna hoja,

Mimi unajua ninaheshimika sana, ndio maana wakati uleeee ulipotaka kufanya mchango wa ile party wananchi walikukatalia ukaja kinililia nikusaidie kuchangisha nikachangisha in one week, sasa usichanganey heshima yangu na wananchi na kuabudiwa, sijawahi kujiita mwenye kiti wa wa-Tanzania bila kuchaguliwa nao sasa huko ndiko kubaudiwa unakokusema, na unajua nani anyependa hyao ya kuabudiwa sio mimi!

Jando nilienda kijiji cha Nala, maili kama 12 kutoka Dodoma mjini ambako ndiko Kumbi la jando langu lilifanyikia, na aliyenitahiri ni baba yangu mdogo aliyekuwa bingwa wa kutahiri Dodoma nzima, na nilimaliza term ya jando yaani miezi sita kwa mila za kigogo, hakuna mgogo dunainai asiyetahiri wka taarifa yako, ninajua kua kwenu Minziro hakuna tabia za kutahiri ndio maana unayajua nini?
 
kwa haya uliyoeleza hapa, ..... ukome kuwatishia tishia vijana na data; waache wakate issue, leta data vijana wazianalyse.. sio longo longo ya maneno mengi, oversize na makubwa. Na hao walio huko USA sijui walikuibia mkeo na ukawakosa kosa kwenye fumanizi... umewaandama hadi wanakosa raha humu. hamjafundishwa kuheshimu mawazo ya wenzenu na kuwapakazia majina mia.

Kumbe mambo ya kitchen party unayaweza kweli kweli, ndio huko ulipata uzoefu wa rusha roho mwanaume kama binti, umebaki kuvishwa gauni tu. Sikujui na wala sijawahi kukuomba mchango wa kitchen party...mwanangu hajafikia umri wa kuolewa na niliolewa kabla 'fashion' ya kitchen party zako haijaingia. Kwa hiyo koma tena ukomae kabisaa kunihushisha na mambo ya kufikirika. Huna tofauti na abunuwasi. KUzidi kuonyesha uabunuwasi wako, unasema nimeokotwa na kutwa jeshi....mbona unatapatapa na kujiacha uchi, usivae chupi kichwani..vaa malaha pake.
 
habari ya dowans imetoka wapi hapa wakati inaongelewa SAED KUBENEA, MWANAHALISI NA HAO WAANDISHI WALIOGOMA KUCHEMSHA. Na ndio maana ikaamuliwa kuwe na threads zenye titles.

I have to show you kuwa serikali yetu haina tabia za ukweli, na ishu mojawapo ni Dowans, sasa kama hutaki siwezi kukusaidia, ila ni haki yangu kukupa mifano ndani ya hoja zangu na ndio maana ya shule. Na raia yoyote wa Tanzania anajua maana ya Dowans, isipokuwa tu asiyekua raia.

I wonder mtihani wako ulifaulu vipi hasa maswali ya section B.

Off course mimi sina PHD za online, maana ninawaona kina Kitila wanaotafuta PHD za kweli huko London, sijawahi kuona akiandika utumbo hapa, kwa hiyo uko right sina PHD ya online na sina mpnago wa kwua nayo maana huu mfano unanitosha sana. Thanks God kwamba nina dada wawili wenye PHD, maana zao sio za online, kwa hiyo sasa ninajua tofauti!

Kama sio UPASHIKUNA WA HABARI NI NINI, BAKU BAKU MWANAUME MZIMA HUNA HAYA. Hii ni platform for critical analysis, kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake kwa jinsi anavyoona.

Uhuru wa kuandika haina maana ya kuja kunishambulia bila hoja tena kwa majina mia moja, huo ni utoto sio critical anlaysis, usiharibu maana ya maneno ya watu, upashukuna kumbe unaujua sana vipi vingine unavyovijua maana unaonekana unajua vingi sana!
 
your arrogance and speculative behaviour ya kujua wenye majina mia, hebua taja la kwanza, la pili na la tatu...UMEKOSEA STEP, .............ndio siasa zenu za kifisadi kuepnda kujenga maadui na yeyote anayekuja na views against your views. Ndio nyie nyie mafisadi halafu unaleta za kuleta eti UNAPINGA UFISADI. MPINGA UFISADI GANI MNAFIKI unauma na kupuliza at the expense ya kuleta DATAZ! ukome kabisa kuniambia nina majina mengi humu.

Wazee wengine bwana, halafu utalia unafunjiwa heshima!

Fisadi? Mimi nimenunua Kiwira? Bwa! ha! ha! ha! ha! sijanunua Kiwira na nyumba za wananchi za serikali na kuja hapa kujifanya critical analysis, mimi mkuu nimejnega nyumba yangu ya kwanza nilijenga nikiwa na miaka 18 tu, ya sasa ni ya pili ningekwua fisadi nisingekua hapa,

Fisadi ni yule anyekaa nje ya nchi halafu anakuja kumtumia fisadi baba yake mdogo wa karibu na Mkapa, kununua nyumba ya serikali kwa Magufuli, wengine ni afadhali muwe mnanyamaza maana wakiwajua humu mtaabikia tu ndio maana kina Kubenea wanawapa taabu sana, maana ni mafisadi period!

Mimi ninarudia tena sio kikongwe wa miaka 60, nisiyekua na meno!
 
I have to show you kuwa serikali yetu haina tabia za ukweli, na ishu mojawapo ni Dowans, sasa kama hutaki siwezi kukusaidia, ila ni haki yangu kukupa mifano ndani ya hoja zangu na ndio maana ya shule. Na raia yoyote wa Tanzania anajua maana ya Dowans, isipokuwa tu asiyekua raia.

Off course mimi sina PHD za online, maana ninawaona kina Kitila wanaotafuta PHD za kweli huko London, sijawahi kuona akiandika utumbo hapa, kwa hiyo uko right sina PHD ya online na sina mpnago wa kwua nayo maana huu mfano unanitosha sana. Thanks God kwamba nina dada wawili wenye PHD, maana zao sio za online, kwa hiyo sasa ninajua tofauti!

Uhuru wa kuandika haina maana ya kuja kunishambulia bila hoja tena kwa majina mia moja, huo ni utoto sio critical anlaysis, usiharibu maana ya maneno ya watu, upashukuna kumbe unaujua sana vipi vingine unavyovijua maana unaonekana unajua vingi sana!

hapa ni swala la kubenea, mwanahalisi na maandamano ya wahariri. Hayo ya DOWANS yanatoka wapi kama sio UARROGANT kutaka kuonyesha kuwa una DATAZ, I appreciate unazo zote za Dowans, Richmond e.t.c LAKINI KUBENEA ET AL WAMECHEMSHA BIG TIME

Nani kakukushambulia kama si wewe umeanza. Kuanzia leo ujifunze kuheshimu mawazo na michango ya vijana humu ndani. IF WE ARE ALL THINKING ALIKE, THEN SOMEBODY IS NOT THINKING.

Kama serikali yenu haina tabia za ukweli, kinachowekeka kwenye hiyo serikali nini kama sio unafiniki, toka humo kwani umlazimishwa kukaa humo. Huo unafiki wako usiwe ni sababu ya kudrag watu kama jarife.
 
nakuambia unayejifanya ni wewe, tena unajifanya kwa kidole. Kwa taarifa yako wewe maluuni sina ya shida ya uongozi, namuongoza mume wangu na wanangu.........nikuongoze arrogant kama wewe nitawezea wapi,
Mtu mzima hovyo ni wewe unayejifanya much know...kuwa wanijua mie mwanaume............kweli wewe ni nyumbu hukubali kubadili tabia hii ni karne ingine hayawani wewe.

Hayo ya kujifanya ni yako si unayajua ndio maana umeyarukia, uongozi tu hata mahalki pasipostahili lazima ujiweke tu, kibabu bwana mika 60 lini utakubali kuwa umekaribia mwisho sasa ni wakati wa ku-behave,

Nimekumbia kwua ninayojua ninajua huwezi fanya lolote kama ulitegemea watu hapa watakuwa wajinga nafiki sasa unajua kuwa hujui kitu zaidi tu ya kujifanya unajua kumbe hujui kitu,

Huwezi kumjua hayawani kama wewe sio hayawani!
 
Fisadi? Mimi nimenunua Kiwira? Bwa! ha! ha! ha! ha! sijanunua Kiwira na nyumba za wananchi za serikali na kuja hapa kujifanya critical analysis, mimi mkuu nimejnega nyumba yangu ya kwanza nilijenga nikiwa na miaka 18 tu, ya sasa ni ya pili ningekwua fisadi nisingekua hapa,

Fisadi ni yule anyekaa nje ya nchi halafu anakuja kumtumia fisadi baba yake mdogo wa karibu na Mkapa, kununua nyumba ya serikali kwa Magufuli, wengine ni afadhali muwe mnanyamaza maana wakiwajua humu mtaabikia tu ndio maana kina Kubenea wanawapa taabu sana, maana ni mafisadi period!

Mimi ninarudia tena sio kikongwe wa miaka 60, nisiyekua na meno!

FISADI NA MNAFIKI MKUBWA,umejenga ukiwa na miaka kumi na nane inahusu nini hapa. Baba yako fisadi ndio kakujengea kwa fedha za wafuja jasho. Halafu leo ujiite mpinga ufisadi, acha hizo tabia za panya. Unadhihirisha ufisadi wako eti umejenga ukiwa eighteen, hiyo shule ulisoma lini au ndio ukilaza wenyewe, kumbe ni inferiority complex ndio inyokuhaunt.

Sasa na DATAZ zako unanyanyasa watu humu, ziweke basi tuone kama zitakutajirisha, NANI ANASHIDA YA KUKENULIWA MENO NA MTU KAMA WEWE

usingefikia hali hii, kujiona jogoo na wewe ndio wewe kwenye forum ya members ca 7000. Tena toka ulipolijua neno PERIOD basi imekuwa nongwa...
 
Mama na Fieldmashal cut it off. Stop that does not help shit.

huyu bwana is so arrogant, nadhani hajui hili. Na msipomwambia mapema atakuwa dikteta zaidi ya Hitler.

Au ndio yale ya amani na utulivu huku watu mnaumia na kusemea kichinichini. Nimechoka mimi, PATIENCE HAS ITS LIMITS.
 
Hayo ya kujifanya ni yako si unayajua ndio maana umeyarukia, uongozi tu hata mahalki pasipostahili lazima ujiweke tu, kibabu bwana mika 60 lini utakubali kuwa umekaribia mwisho sasa ni wakati wa ku-behave,

Nimekumbia kwua ninayojua ninajua huwezi fanya lolote kama ulitegemea watu hapa watakuwa wajinga nafiki sasa unajua kuwa hujui kitu zaidi tu ya kujifanya unajua kumbe hujui kitu,

Huwezi kumjua hayawani kama wewe sio hayawani!

UNAYERINGIA PhD (not the spellings). Kaza buti na wewe uitafute MTEGEMEA CHA NDUGUYE HUFA MASKINI ACHA UKIHIYO HUO ndio unaokusababishia hiyo inferiority complex. Wenzio wanaenda shule wewe umekalia i have the dataz.

Sina shida ya kukufanya chochote zaidi ya kukuambia ukweli, YOU ARE SO ARROGANT, HABARI NDIYO HIYO. JIREKEBISHE.
 
Niliyoyasoma kwenye kama page mbili tatu nyuma naamini yanazidi umri wangu.Nashangaa from no where mtu analipuka na maneno maziiiiito.Whats up???Hivi kweli kisa na Maandamano ya Wanahabari au kuna la nyuma ya pazia.Haya mimi ngoja nizidi kusoma na kujifunza majimatusi ili niongeze maarifa ya mijimatusi ya kiswahili na kizungu.Haya kanyaga twende.
 
NANI KAKUCHOKOZA KIBABU WEWEEEE, wa kuchokozwa utakuwa wewe, kwa nini hasa ulichokuwa nacho, hiyo ARROGANCE NA EGO.

Maneno yako ya kwanza yapo wazi niliyoyajibu, baba yangu anakuzidi miaka michache sana, kujifanya mtoto huku una miaka 60 sijui nikuiteje!

umeshajulikana mmbea wewe, ungekuwa na credibility ungeleta PRIVATE MESSAGES HUMU, na siri za watu wengine wamekuchagua kuconfide nao unaleta siri hizo humu. I wonder kwa nini waendelee kuconfide na wewe, ndio nyie nyie mnaosababisha JF inafungwa kwa tabia ya kuuma na kupuliza halafu unajidai una dataz na credibility...

Hii ndio tabia yako ya Minziro ya uchonganishi, nilimuambia mwenye forumhii miezi sita kabla haijafungwa kuwa ipo njiani kufungwa na hata leo nikijua nitamwambia tena, kama ninavyowaokoa wananchi wengi sana sio hapa tu, mimi sina siri na mtu kama wewe maana ninasiri za watu wengi sana muhimu, na sio humu kwenye PM ambako kuna watu wengi tu wenye uwezo wa kuingia, kuanzia Mods mpaka owner siwezi kuweka siri zangu hapa hata siku moja!

Mimi ni mimi, wewe ni wewe huwezi kuwa mimi hata ufanye nini, na huwezi kunifanya anything kuanzia hapa mpka nje ya hapa you know that, sasa hizo kelele zako ni za mlango, lakini ninashukuru kwamba toka nikuombe uache kunitumia PM za kijinga sasa umeacha hilo ninashukru sana.

I AM A PROUD WOMAN, NEVER EVER BEEN DEMORALISED. Hayo majina ni yako wewe, na uache watoto wa wenzio wachangie humu. Wanashindwa kuchangia kwa sababu ya arrogance na ego uliyonayo. Ungekuwa founder wa JF wewe sijui kama wengine tungechangia, UNGESHATUBAN kwa roho yako mbaya halafu unasema wenzio ndio wana roho mbaya na wivu.
Vijana wadogo wanafanya critical analysis wewe unang'ang'ania i know, i know, i know my ass.

Kwa taarifa yako sina haja ya kumiliki forum, ungeyajua ya huko nyuma na hii forum usingeyasema haya ni kwa sababu huyajui, mimi ninazo mali zangu za jasho langu sihitaji forum ya mtu, ndio maana nilipooombwa sana kumiliki forum huko nyuma niliktaaa sana mashahidi wangu wapo ambao kun abaadhi niljaribu kuwapasia hiyo offer, Lunyungu akiwa mmojawapo, kwa hiyo nisitishwe na maneno ya kumiliki forum, kama nina shida ya kumiliki forum ninaweza kuanzisha anytime na unajua kuwa itapata watu, huo muda sina,

roho mbaya unayajua sana, nimekuambia kua ningekua na roho mbaya kama yako ningeumiza watu wengi sana, maana kuna wengi ninaoshirkiana nao wanaojaribu kuniumiza lakini ninawajua na sisemi kitu ila ninamezea maana siku zote nipo one step ahead!

Eti wewe ni kijana mdogo! Makubwa haya jamani yaani internent bwana majabu ya Mungu haya!
 
Niliyoyasoma kwenye kama page mbili tatu nyuma naamini yanazidi umri wangu.Nashangaa from no where mtu analipuka na maneno maziiiiito.Whats up???Hivi kweli kisa na Maandamano ya Wanahabari au kuna la nyuma ya pazia.Haya mimi ngoja nizidi kusoma na kujifunza majimatusi ili niongeze maarifa ya mijimatusi ya kiswahili na kizungu.Haya kanyaga twende.

...🙁 inanikumbusha blog ya theutamu!
 
kwa haya uliyoeleza hapa, naomba ukome tena kama unavyomkoma mkeo alivyojifungua.....

Sasa unahitaji kujifunza kuheshimu watu hapa mimi sitishiki na majina yako wala umri wako, hayo ya kukoma ni ya walevi mimi sio mlevi na wala sio mlevi wa kangara!

ukome kuwatishia tishia vijana na data waache wakate issue, leta data vijana wazianalyse.. sio longo longo ya maneno mengi, oversize na makubwa. Na hao walio huko USA sijui walikuibia mkeo na ukawakosa kosa kwenye fumanizi... umewaandama hadi wanakosa raha humu. Hilo jando lenu halina mafunzo thabiti, hamjafundishwa kuheshimu mawazo ya wenzenu na kuwapakazia majina mia.

Unajua toka umeanza kuongea sumu, hakuna mahali unajicganganya kama hapa, unachekesha kweli!
 
Sasa unahitaji kujifunza kuheshimu watu hapa mimi sitishiki na majina yako wala umri wako, hayo ya kukoma ni ya walevi mimi sio mlevi na wala sio mlevi wa kangara!

Unajua toka umeanza kuongea sumu, hakuna mahali unajicganganya kama hapa, unachekesha kweli!

Tena hapo ndipo penyewe, halafu ona unavyojicheka mwenyewe.....usipobadili tabia utakuwa dikteta zaidi ya Hitler, hiyo sio sumu...kwa ile lugha ungeita kumkoma nani......nyani.....nini utajaza mwenyewe.

Sijawahi kukuandikia PM, nikuandikie nini kwenye PM wakati najua saa yeyote utaileta hapa jamvini pale utakapodiffer na mtu yeyote humu.
Huna credibility ya kutumiwa PM, nina wasiwasi hata siri za mkeo unaziweka hadharani pale mnapohitilafiana. You are disgusting.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom