Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Hii nafasi ya ku judge mikoani inaongoza sana.Ndio maana ngumu kutoboa au kufanikiwa kwa asilimia fulani.
Mikoani mtu anaweza kujionesha yeye ni nafasi gani,wewe utakuwa hivi au wakupangie hivi.
Ndio maana asilimia kubwa ya watumishi wa mikoani wamechoka sana.
Kwa wananchi wa mikoani hapo ndio mwalimu mkuu wa ku judge
Ukilinganisha Dar mtu anaweza kutoka mkoani kuja Dar na watu waka mpokea bila ku judge na maisha ya kaendelea mifano tunayo mengi.
Sasa niulize we Dar toka hapo njoo mkoani alafu unipe majibu.