Hivi hapo dar mna kitu gani zaidi cha kujivunia ?Mkuu hii sio uongo ni fact kabisa..
Mikoani kuna watu mamburura kabisa. Wanakazania uchawi, majungu na fitina.
Nime tembelea mikoa mingi sana na pattern ni ile ile watu wa mkoa ni wa ovyo sana. Hata wakija mjini huwa ni walimbukeni sana
Ukiwa Dar kila mtu na harakati zake. Sihammi Dar pamoja na kelele zake. Kuna safety kubwa sana ukiwa unjudged, na utapiga hatua sana kimaisha
Niwajuaji sana, ila mimi ni msukuma wa mwanzaHivi hapo dar mna kitu gani zaidi cha kujivunia ?
Dar ni jiji la maigizoNiwajuaji sana, ila mimi ni msukuma wa mwanza
Hivi wewe ni mwehu?Hivi hapo dar mna kitu gani zaidi cha kujivunia ?
Hii si mkoani pekee hata hapa dar ipoMikoani, mambo mengi bado yanategemea kujuana, ukabila, au kuangaliana kwanza kwamba huyu ni mtoto wa nani ndio upewe ushirikiano.
Mbona umepanik vp!Hivi wewe ni mwehu?
Dar unataka ulinganishe na mkoa gani hapa tanzania?