Katika sex nani anamtumia mwezake?

Katika sex nani anamtumia mwezake?

Wote wanatumiana. Mwanaume anamtumia mwanamke ksbb upitie ukame wa kama mwezi,halafu uje upate sasa ndutu,ndio utajua mwanaume anamtumia mwanamke. Pia mwanamke anamtumia mwanaume ksbb nae anahitaji pia.

(Japo hili halipo) Pia mwanamke ameenda mbali zaidi kumtumia mwanaume ksbb wanawake karibia 70% wanamtegemea mwanaume ktk mahitaji mengine
 
Siku hizi mambo yamebadilika wanaume wengi wanategemea mahitaji ya kiuchumi kutoka kwa wanawake
 
Katika sex inategemea na mwanamke,kuna wengine wanashughulika kwerikweri wengine kama magogo tu kazi yao kuugulia tu na kupiga kelele
 
Katika jambo zima la sex nani huwa anamtumia mwenzie? Mwanamke au mwanaume? Nini inafanya useme hyu ndo anatumiwa? 👀

Unapomkamua ng'ombe maziwa ni nani anayetumiwa, ng'ombe au mkamuaji??--- kwa watu nadhani utajua ni nani anayekamuliwa!!
 
Kwanza ni sex ya Aina gani dume kwa dume au jike kwa dume au jike kwa jike tuanzie hpo
 
Anaetoa pesa ndie anaetumiwa
mwanaume nakupa hela mwanamke tufanye ngono, ukipokea ujue wewe ndo unaetumika, sababu hapo lengo ni kujiridhisha mimi sio kukuridhisha wewe.

na kama mwanamke anamwomba mwanaume wakutane kusex basi hapo wanaume anaenda kutumika, ila mwanaume anatumika endapo tu kama anajilazimisha kusex na huyo mwanamke, coz sex kwa mwanaume ni tamanio lake la kwanza. ndo mana ni ngumu sana kusema mwanaume katumika..

mwanaume anatafuta hela apate sex kiurahisi, mwanamke anatafuta hela ajipambe.

Men sex to please their Ego, women sex for a hundred of reasons.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi mambo yamebadilika wanaume wengi wanategemea mahitaji ya kiuchumi kutoka kwa wanawake
Ni wanaume wa dar tu ndio wanaowategemea wanawake. Ndio maana nimesema 70% hao ndio wanaume kwa kila kitu. Hao wako mikoani,mpaka vijijini huko ndiko walikobakia wanaume . 20% wa dar. 10% maamuzi mengine
 
Back
Top Bottom