Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
[emoji23][emoji23][emoji23]...! Kwa hiyo yupi anaingiliwa?Anayeingiliwa ndio anaye tumika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]...! Kwa hiyo yupi anaingiliwa?Anayeingiliwa ndio anaye tumika.
Siyo kweli hata kidogoSiku hizi mambo yamebadilika wanaume wengi wanategemea mahitaji ya kiuchumi kutoka kwa wanawake
inawezekana tunatumiana.. ila sijui kwanini mwisho wa siku mkiachwa mnalalamikaga "Ulikua unanitumia tu" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wote tunatumiana , kila mtu nyege ndiyo zinamsababisha akahitaji mbususu ama mkuyenge. So wote tunahitajiana.
Tunalalamika kupotezewa muda bana na ndiyo maana inaonekana kama tumetumiwa tu, vitu vyenyewe ni elastic materials hakuna kutumiwa , tunatumianainawezekana tunatumiana.. ila sijui kwanini mwisho wa siku mkiachwa mnalalamikaga "Ulikua unanitumia tu" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
sio kweli nyie mnajiona mnatumika ndo mana mnataka zawadi na hela viwe kama malipo kwa kutumiwa.Tunalalamika kupotezewa muda bana na ndiyo maana inaonekana kama tumetumiwa tu, vitu vyenyewe ni elastic materials hakuna kutumiwa , tunatumiana
Mkuu nadhani ni kale ka weakness ka siye wanawake, ila kiukweli tunatumiana maana hisia wote tunazo na kutimiziana ni kwa wote tusio kweli nyie mnajiona mnatumika ndo mana mnataka zawadi na hela viwe kama malipo kwa kutumiwa.
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Unayemuuliza ndio kaleta huo uzi [emoji2]
pen & daftariUnapomkamua ng'ombe maziwa ni nani anayetumiwa, ng'ombe au mkamuaji??--- kwa watu nadhani utajua ni nani anayekamuliwa!!
Kati ya kisu na nyama kipi kinatumika?Katika jambo zima la sex nani huwa anamtumia mwenzie? Mwanamke au mwanaume? Nini inafanya useme hyu ndo anatumiwa? [emoji102]