Uongozi ni jaa.Wakuu,
CCM wametoa bandiko kuonesha sifa za mgombea wao Samia, na kwanini Watanzania wamchague.
Kwamba Samia ni:
1. MNYENYEKEVU
2. MPENDA HAKI
3. MCHAPA KAZI
4. MZALENDO NAMBA MOJA
5. ANAPENDWA NA WENGI
6. MWENYE UTU
7. MTETEZI WA WANYONGE
Kiuhalisia ni sifa ipi anayo kati ya hizo? Maana naona wamemwelea mtu wanayetamani ndio awe mgombea wao lakini hawana!
Team Kazi na Utu embu njooni mtuambie kwa kina, hizi sifa zinaangukia wapi kwa Samia, maana Watanzania hatuzioni!
Hanaa hata mojaa ni ubabe tu na kuuwa watoto wa wenzakeWakuu,
CCM wametoa bandiko kuonesha sifa za mgombea wao Samia, na kwanini Watanzania wamchague.
Kwamba Samia ni:
1. MNYENYEKEVU
2. MPENDA HAKI
3. MCHAPA KAZI
4. MZALENDO NAMBA MOJA
5. ANAPENDWA NA WENGI
6. MWENYE UTU
7. MTETEZI WA WANYONGE
Kiuhalisia ni sifa ipi anayo kati ya hizo? Maana naona wamemwelea mtu wanayetamani ndio awe mgombea wao lakini hawana!
Team Kazi na Utu embu njooni mtuambie kwa kina, hizi sifa zinaangukia wapi kwa Samia, maana Watanzania hatuzioni!
Hata nkikuelezea hautataka kuelewaKivipi? Ndio utueleze kwa mambo aliyofanya yanaonesha kuwa na sifa yoyote hapo?
SIFA PEKEE ALIYO NAYO NI ILE YA KUAMINI YEYE AKILA NA KUNY💩 NDIYO KAFUNGIA NCHIWakuu,
CCM wametoa bandiko kuonesha sifa za mgombea wao Samia, na kwanini Watanzania wamchague.
Kwamba Samia ni:
1. MNYENYEKEVU
2. MPENDA HAKI
3. MCHAPA KAZI
4. MZALENDO NAMBA MOJA
5. ANAPENDWA NA WENGI
6. MWENYE UTU
7. MTETEZI WA WANYONGE
Kiuhalisia ni sifa ipi anayo kati ya hizo? Maana naona wamemwelea mtu wanayetamani ndio awe mgombea wao lakini hawana!
Team Kazi na Utu embu njooni mtuambie kwa kina, hizi sifa zinaangukia wapi kwa Samia, maana Watanzania hatuzioni!
Anachukiwa na nchi nzima kasoro chawa.Hizi ndizo sifa sahihi za Iddi Amini Mama from Uganda;
1. Muuaji aka Izrael mtoa roho za watu
2. Mtekaji
3. Mtesaji
4. Muuza nchi kwa Waarabu
5. Fisadi
6. Katili
7. Mnyanyasaji
8. Mlinzi wa Mafisadi, wezi, wabadhirifu na wapigaji.
9. Mwana mtandao
10. Raia kutoka nchi jirani.