Katika suala la kununua ardhi hakuna mjanja, tusibishe

Katika suala la kununua ardhi hakuna mjanja, tusibishe

Kununua ardhi lazima uende ardhi ukajihakikishie. Na pia ujue ardhi ni ya nani hata dalali usimuamini ni wale wale, yeye anataka hela tu na atakushawishi mpaka ununue. Uliza kiwanja wanacho miaka mingapi. Kama ni tangu Enzi basi hapo Red flag tayari lazima ushtuke.
 
Yani mimi na kufanya yote nchi hii ila swala la kununua ardhi ni muoga sana.ukiona malalamiko kesi za ardhi ni nyingi kuliko nyingine.

kuna jamaa alinunua ardhi kwa ajili ya sheli kumbe wana mirathi wengine walikuwa wajapata stahiki ,ilibidi kuongeza pesa tena ili kukamilisha manunuzi.
Kaaa tu usubiri migogoro iishe
 
Sio ardhi tu hata kwenye gari tu majuzi natoka Tabora naenda songea na superfeo kuna soda nimenunua jamaa akadai hana change akafika maeneo ya Itigi akaomba aende nje akaombe hadi anaondoka japo ilikua 500 tu Bongo kila mtu mpigaji.
 
Wana ukoo wote wanatakiwa kusaini hasa hasa watoto kama uwanja ni wa mirathi ili kukata ngebe na picha zao ziwepo kwenye document hata kama shamba, kiwanja au nyumba ni cha mtu mmoja kati yao
 
Haswa aridhi ya URITHI ndio inaongoza kwa migogoro

Demu wangu ana kaka zake wawili wajanja wa janja wa mjini pale magomeni, mama yake alikua mke wa kwanza akazaliwa yeye na alipo fariki akaolewa mwingine aliyezaa hao kaka zake.

Walimzunguka Wakafoji kikao cha ukoo wakateua msimamizi kisha msimamizi akasimamia nyumba ikauzwa kwa Mkinga mmoja pale Magomeni
Mkinga alifuata taratibu zote hadi mahakani kujiridhisha akanunua nyumba na malipo yalifanyikia mahakamani kila mmoja akadaka mkwanja wake

Demu anakuja kupata habari mkinga alipo ivunja nyumba kuanza ujenzi wa gorofa
Kufuatilia anakuja kujua kaka zake wamemzunguka, kaenda mahakamani kuweka pingamizi, msimamizi fake akapotea, makaka hela washahonga na kuongeza wake na kununulia magari na viwanja chanika.

Mkinga alipokuja kubaini kapigwa ikabidi akubali hasara mara mbili, akakubaliana na matakwa ya demu kwamba amlipe nusu ya hela aliyonunulia nyumba mambo yaishe

Ukiuziwa kiwanja na ukabaki salama ni jambo la BAHATI sana
 
kwani hamjui kuwa ardhi ililaaniwa au mnajizima data?, ktu kilicholaaniwa lazima uwe nacho makini sana.
 
Haswa aridhi ya URITHI ndio inaongoza kwa migogoro

Demu wangu ana kaka zake wawili wajanja wa janja wa mjini pale magomeni, mama yake alikua mke wa kwanza akazaliwa yeye na alipo fariki akaolewa mwingine aliyezaa hao kaka zake.

Walimzunguka Wakafoji kikao cha ukoo wakateua msimamizi kisha msimamizi akasimamia nyumba ikauzwa kwa Mkinga mmoja pale Magomeni
Mkinga alifuata taratibu zote hadi mahakani kujiridhisha akanunua nyumba na malipo yalifanyikia mahakamani kila mmoja akadaka mkwanja wake

Demu anakuja kupata habari mkinga alipo ivunja nyumba kuanza ujenzi wa gorofa
Kufuatilia anakuja kujua kaka zake wamemzunguka, kaenda mahakamani kuweka pingamizi, msimamizi fake akapotea, makaka hela washahonga na kununulia magari na viwanja chanika.

Mkinga alipokuja kubaini kapigwa ikabidi akubali hasara mara mbili, akakubaliana na matakwa ya demu kwamba amlipe nusu ya hela aliyonunulia nyumba mambo yaishe

Ukiuziwa kiwanja na ukabaki salama ni jambo la BAHATI sana
Kama ni kweli, basi hizi taratibu za hii nchi hazijakaa sawa. Kwanini loss apewe mnunuzi wakati kafika hadi mahakamani, au taratibu ni zipi hasa? Hao waliomzunguka huyo sista wamechukuliwa hatua gani?
 
Hapo kisheria kabisa mchakato mzima wa kuuza nyumba ulikua sio HALALI kwasababu makaka walifanya udanganyifu

Hapa ilitakiwa hao makaka wapambane na kosa la forgery na warudishe gharama zote kwa Mkinga

Mkinga akaona sana sana ataishia kuwafunga tu maana hiyo hela wlikwisha itumia na uwezo wa kuilipa hawana

Kuna muda unafika inabidi sheria uiweke pembeni kupunguza hasara

Nilipata habari alikamata magari yao na viwanja vya chanika kujaribu kufidia
 
Back
Top Bottom