Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Kaaa tu usubiri migogoro iisheYani mimi na kufanya yote nchi hii ila swala la kununua ardhi ni muoga sana.ukiona malalamiko kesi za ardhi ni nyingi kuliko nyingine.
kuna jamaa alinunua ardhi kwa ajili ya sheli kumbe wana mirathi wengine walikuwa wajapata stahiki ,ilibidi kuongeza pesa tena ili kukamilisha manunuzi.
Kama ni kweli, basi hizi taratibu za hii nchi hazijakaa sawa. Kwanini loss apewe mnunuzi wakati kafika hadi mahakamani, au taratibu ni zipi hasa? Hao waliomzunguka huyo sista wamechukuliwa hatua gani?Haswa aridhi ya URITHI ndio inaongoza kwa migogoro
Demu wangu ana kaka zake wawili wajanja wa janja wa mjini pale magomeni, mama yake alikua mke wa kwanza akazaliwa yeye na alipo fariki akaolewa mwingine aliyezaa hao kaka zake.
Walimzunguka Wakafoji kikao cha ukoo wakateua msimamizi kisha msimamizi akasimamia nyumba ikauzwa kwa Mkinga mmoja pale Magomeni
Mkinga alifuata taratibu zote hadi mahakani kujiridhisha akanunua nyumba na malipo yalifanyikia mahakamani kila mmoja akadaka mkwanja wake
Demu anakuja kupata habari mkinga alipo ivunja nyumba kuanza ujenzi wa gorofa
Kufuatilia anakuja kujua kaka zake wamemzunguka, kaenda mahakamani kuweka pingamizi, msimamizi fake akapotea, makaka hela washahonga na kununulia magari na viwanja chanika.
Mkinga alipokuja kubaini kapigwa ikabidi akubali hasara mara mbili, akakubaliana na matakwa ya demu kwamba amlipe nusu ya hela aliyonunulia nyumba mambo yaishe
Ukiuziwa kiwanja na ukabaki salama ni jambo la BAHATI sana
Hapo kisheria kabisa mchakato mzima wa kuuza nyumba ulikua sio HALALI kwasababu makaka walifanya udanganyifuKama ni kweli, basi hizi taratibu za hii nchi hazijakaa sawa. Kwanini loss apewe mnunuzi wakati kafika hadi mahakamani, au taratibu ni zipi hasa? Hao waliomzunguka huyo sista wamechukuliwa hatua gani?
Pole sana mkuuDuh ardhi ni nyoko waliniuzia shamba kumbe ni hifadhi inapita ya TANAPA yule mzee na mkewe na wengine wengine walaaniwe uko waliko