Katika suala la kununua ardhi hakuna mjanja, tusibishe

hivi sasa kidogo sawa ningeshangaa sana kama jamaa walitoka clean kirahisi, ila still taratibu nyingi kama taifa waweka sheria wanatukwamisha, na mbaya zaidi unakuja kukutana na ike kauli maarufu ya "kutokujua sheria sio kinga"
 
hivi sasa kidogo sawa ningeshangaa sana kama jamaa walitoka clean kirahisi, ila still taratibu nyingi kama taifa waweka sheria wanatukwamisha, na mbaya zaidi unakuja kukutana na ike kauli maarufu ya "kutokujua sheria sio kinga"
Sheria za nchi hii zina ukakasi sana maana wahuni wanapita nazo humo humo

Huwezi kununua wala kuuza aridhi bila kupitia kwa watendaji wa mitaa na vijiji, na ndio wanaoshiriki kucheza michezo yote michafu ya utapeli wa kuuziana aridhi lakini hakuna hata mmoja aliyeshitakiwa achilia mbali kusimamisha kazi tu
Huwezi kuuza wala kununua kiwanja bila hawa vibaka kuidhinisha

Mambo yakienda mramba wanajigeuza washauri mmalizane tu bila kushtakiana
 
Hatari sana mkuu, wasuka dili wanageuka wasuluhishi
 
Kwenye kununua Ardhi bila umakini kupigwa ni nje nje, Huwa nashangaa sana watu wanaridhika na sign ya M/kiti au Mtendaji wa sehemu husika, Wakati ukifuatilia kwenye mamlaka za ardhi hawatambuliki ,
 
Inasikitisha sana
 
Migogoro mingi Sana iliyopo kwenye masuala ya ardhi pamoja na majanga yake yote yamesababishwa na Serikali kwa kushindwa kutekeleza Sera za Mipangomiji sambamba na kupima ardhi yote hapa nchini, Hali ambayo imesababisha kuibuka kwa matapeli na kuiteka mateka Sekta yote ya ardhi hapa nchini.
 
Kwenye ardhi hakuna mjanja! I'm a Tu yasikukute.
Unaweza kuuziwa ardhi na wazazi na miongoni mwa watoto akawa Shahid, siku ardhi ikipanda bei na wazazi kufariki wanakuja wehu kukuambia uliwarubuni ndg zao, wakiona unabisha wanakuloga, wanakuondoa jumla. Huu ujinga upo vijijini na vijiji vilivyochangamka
 
D'oh Kwa kweli ardhi imelaaniwa mpaka naogopa
 
Ukisikiliza stori za migogoro ya aridhi hutokuja kununua aridhi, kikubwa kuwa makini, ukipigwa basi ukifanikisha dole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…