Katika teuzi za Rais Samia, nani waondoshwe kazini kwenye kapu la Wakuu wa Wilaya?

Hana visasi vya kijinga hata kidogo
Nimegundua Viongozi wengi wanaofanya sehemu zenye upinzani mkali wa kisiasa ni vigumu kumiminiwa sifa kede kede kama wapatazo viongozi wanaotoka sehemu zisizo na michuano mikali ya kisiasa...
 
Sasa Kilolo kuna ushindani gani.

Gairo nako kuna ushindanni gani.

Tabora mjini nako kuna siasa gani wakati DC anasweka ndani wana CCM wenzake.

Tabia ndio kikwazo kwa hawa vijana malimbukeni.

Upinzania haumtumia DC kufanya uvamizi kama alivyokuwa anafanya Makonda.
 
Na hii ndio tatizo tulilonalo, na hata michango yetu inaonyesha hivyo.
 
Sasa Kilolo kuna ushindani gani.

Gairo nako kuna ushindanni gani.

Tabora mjini nako kuna siasa gani wakati DC anasweka ndani wana CCM wenzake.

Tabia ndio kikwazo kwa hawa vijana malimbukeni.

Upinzania haumtumia DC kufanya uvamizi kama alivyokuwa anafanya Makonda.
Upinzani wa kisiasa sio lazima UWE Kati ya vyama tofauti vya kisiasa..ata CCM wenyewe Kwa wenyewe wanakuaga na mpambano mkali Sana wa Chini Kwa Chini...ni bahati tuu wanakuaga na uwezo Mkubwa wa kuficha vyanzo vya migogoro lakini Kati ya DC, DED na Mwenyekiti wa CCM (W) au almashauri Wanakuaga na mnyukano Mkubwa Sana hasa pale kila kundi linapokua Lina mgombea mtarajiwa wa Ubunge.
 
Wanabodi Salaam,

Naandika haya nikitambua kuwa kwa Mamlaka ya Rais. Rais hatalazimika kufuata ushuri wetu pindi atakapo kuwa akitimiza majukumu yake kwa mujibu wa katiba.

Hata hivyo ni muhimu kwa Rais kupitia ushauri wa wananchi anaowaongoza kwa kuwa mamlaka yake yametoka kwa wananchi.

Rais anaendelea kupanga na kupangua safu yake ya kumsaidia katika kuiongoza nchi yetu.

Katika teuza za majaji na wakuu wa miko,wengi wamepongeza isipokuwa tu kwa aliekuwa DPP na Wakuu wawili wa mikoa,yaani Chalamira na Ally Happi, waliosalia wamefaulu mtihani wa mchujo wa wananchi.

Uteuzi wa wakuu wa Wilaya

Huku ndio kuna utitiri wa viongozi wajinga na wanaoharibu taswira ya serikali.

Mamaa yetu mpendwa Rais Samia huku usifanye uhamisho,huku wabaki 20% tu.

Asilimia 80 teua ma DC wapya,nashauri katika uteuzi wako chukua watu kutoka Idara za serikali na sio vyama vya siasa.

Watumishi waliopo kwenye Idara mbalimbali za serikali wanaouzoefu mkubwa wa kufanya kazi za serikali.

Watumishi hawa wameshiba maadili ya uongozi wa umma tofauti na hawa malimbukeni wanaotukana watu na kujigeuza miungu watu.

Mh.Rais Samia watumishi hawa wanajua vizuri jinsi serikali invyofanya kazi,wamesoma uongozi na utawala,hawatakuangusha kama wanavyofanya aki na Sabaya.

Orodha ya wakuu wa wilaya wasiotakiwa kuwemo kwenye 20% ya watajaobakishwa.

1. Ole Sabaya Wa Hai afukuzwe rasmi(sasa amesimamishwa)

2. Komanya Kitwala wa Tabora mjini afukuzwe maana kazi yake ni kugombana na surbordinates wake.

3. Yule Mama wa Kilolo afukuzwe maana kagimbana na madereva 14, yaani hana moral authority ya kuendelea kuitwa DC.

4. Mtazame kwa jicho la Tatu DC wa Gairo, nae ni msumbufu na anamajivuno.

Karibuni wana jamvi ,mnisaidie kusaga kunguni kwa ma DC wa hovyo ambao Mama anatakiwa kuwafukuza kazi.

NB. Gondwe na Joketi wabakishwe kwenye 20%.

Ni hayo tu kwa leo.
Dc was kilosa afukuzwe
 
Nimegundua Viongozi wengi wanaofanya sehemu zenye upinzani mkali wa kisiasa ni vigumu kumiminiwa sifa kede kede kama wapatazo viongozi wanaotoka sehemu zisizo na michuano mikali ya kisiasa...
Mbona Anthony Mtaka aitokea Hai na alifanya vizuri?
 
Kuna kitu tumegundua Maka hatumbui islams kamwe .....kuna walakini kwa islams ...ila muda mwalimu mzuri tuendelee kujifukiza....huyo dada kilolo hataguswa
Naapa huyo dada wa KILOLO asipofukuzwa mimi mimi najinyonga pale uwanja wa samora iringa wakinizuia napanda basi la mwafrika la kwenda ukwega najinyonga ndani ya basi wakinizuia naenda jitupa chini ya daràja la Mto ruaha pale ndiwili/ihimbo.
ASIA ABDALLAH hafai kuwa mkuu wa wilaya ya KILOLO.
Tumemvumilia kiasi cha kutosha uteuzi wa wakuu wa wilaya umuepushe na laana ya waathirika na utawala wake mbovu
 
Bwana mdogo Sabaya siyo tu kwamba anachunguzwa, hiyo haitoshi, aondolewe kabisa kwenye nafasi, wananchi hatuna imani naye!
 
Humu watu Ni wanafki Sana wambea wapika majungu wivu ndio vilivyoshamiri katika kujadili Jambo kuwa flani n mzuri ebu elezea mazuri yake au flan n mbaya basi elezea mabaya yake Sasa mtu anaongea bila evidence huo n unafki mbaya zaidi huyu mama nae n muumini wa mitandao anaeza kuta floo ya watu kumkataa flan ukashangaa tunaongezewa competitors wengine fresh Tena wenye mitaji.

Adui wa kijana Ni vijana wenyewe adui wa mwanamke n wanawake wenyewe Discuss
 
Mbona Anthony Mtaka aitokea Hai na alifanya vizuri?
Hajawahi kugusa maslahi ya wanasiasa hasa wa Upinzani..ndio maana anakubalika na baadhi ya wakereketwa ata ambao sio itikadi yake.
 
Wanabodi Salaam,

Naandika haya nikitambua kuwa kwa Mamlaka ya Rais. Rais hatalazimika kufuata ushuri wetu pindi atakapo kuwa akitimiza majukumu yake kwa mujibu wa katiba.

Hata hivyo ni muhimu kwa Rais kupitia ushauri wa wananchi anaowaongoza kwa kuwa mamlaka yake yametoka kwa wananchi.

Rais anaendelea kupanga na kupangua safu yake ya kumsaidia katika kuiongoza nchi yetu.

Katika teuza za majaji na wakuu wa miko,wengi wamepongeza isipokuwa tu kwa aliekuwa DPP na Wakuu wawili wa mikoa,yaani Chalamira na Ally Happi, waliosalia wamefaulu mtihani wa mchujo wa wananchi.

Uteuzi wa wakuu wa Wilaya

Huku ndio kuna utitiri wa viongozi wajinga na wanaoharibu taswira ya serikali.

Mamaa yetu mpendwa Rais Samia huku usifanye uhamisho,huku wabaki 20% tu.

Asilimia 80 teua ma DC wapya,nashauri katika uteuzi wako chukua watu kutoka Idara za serikali na sio vyama vya siasa.

Watumishi waliopo kwenye Idara mbalimbali za serikali wanaouzoefu mkubwa wa kufanya kazi za serikali.

Watumishi hawa wameshiba maadili ya uongozi wa umma tofauti na hawa malimbukeni wanaotukana watu na kujigeuza miungu watu.

Mh.Rais Samia watumishi hawa wanajua vizuri jinsi serikali invyofanya kazi,wamesoma uongozi na utawala,hawatakuangusha kama wanavyofanya aki na Sabaya.

Orodha ya wakuu wa wilaya wasiotakiwa kuwemo kwenye 20% ya watajaobakishwa.

1. Ole Sabaya Wa Hai afukuzwe rasmi(sasa amesimamishwa)

2. Komanya Kitwala wa Tabora mjini afukuzwe maana kazi yake ni kugombana na surbordinates wake.

3. Yule Mama wa Kilolo afukuzwe maana kagimbana na madereva 14, yaani hana moral authority ya kuendelea kuitwa DC.

4. Mtazame kwa jicho la Tatu DC wa Gairo, nae ni msumbufu na anamajivuno.

Karibuni wana jamvi ,mnisaidie kusaga kunguni kwa ma DC wa hovyo ambao Mama anatakiwa kuwafukuza kazi.

NB. Gondwe na Joketi wabakishwe kwenye 20%.

Ni hayo tu kwa leo.
Pole sana naona amekusahau
 
Back
Top Bottom