LGE2024 Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa sehemu gani kuna mgombea wa upinzani peke yake atakayepigiwa kura ya hapana?

LGE2024 Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa sehemu gani kuna mgombea wa upinzani peke yake atakayepigiwa kura ya hapana?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Mtaa au kijiji gani wagombea wa CCM wameenguliwa wakabaki wa upinzani kama CHADEMA na ACT pekee ambao watapigiwa kura za ndio na hapana?

Kuna kitu nataka kujifunza.
 
Kuna unafiki uliopitiliza wa Chama kulazimisha kupendwa. Kura za hapana zitakuwa nyingi bila wizi kuwepo.
 
Back
Top Bottom