Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Nov 24, 2024 #1 Mtaa au kijiji gani wagombea wa CCM wameenguliwa wakabaki wa upinzani kama CHADEMA na ACT pekee ambao watapigiwa kura za ndio na hapana? Kuna kitu nataka kujifunza.
Mtaa au kijiji gani wagombea wa CCM wameenguliwa wakabaki wa upinzani kama CHADEMA na ACT pekee ambao watapigiwa kura za ndio na hapana? Kuna kitu nataka kujifunza.
M mmaroroi JF-Expert Member Joined May 8, 2008 Posts 4,635 Reaction score 2,271 Nov 24, 2024 #2 Kuna unafiki uliopitiliza wa Chama kulazimisha kupendwa. Kura za hapana zitakuwa nyingi bila wizi kuwepo.
Kuna unafiki uliopitiliza wa Chama kulazimisha kupendwa. Kura za hapana zitakuwa nyingi bila wizi kuwepo.