Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jul 26, 2025 #1 Kama unafuga kwa kitowewo sawa ila kama unafuga kwa biashara na kupa pole sana. Ni ngumu sana kupata wateja ukilinganisha mbuzi,kuku,ng’ombe na samaki. Embu tujuzane kwa nini
Kama unafuga kwa kitowewo sawa ila kama unafuga kwa biashara na kupa pole sana. Ni ngumu sana kupata wateja ukilinganisha mbuzi,kuku,ng’ombe na samaki. Embu tujuzane kwa nini
Cherecheche JF-Expert Member Joined Nov 16, 2024 Posts 4,851 Reaction score 9,372 Jul 26, 2025 #2 Mawazo ya kijinga.
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jul 26, 2025 Thread starter #3 Cherecheche said: Mawazo ya kijinga. Click to expand... Ushawahi kufuga hata watoto wako
Cherecheche JF-Expert Member Joined Nov 16, 2024 Posts 4,851 Reaction score 9,372 Jul 26, 2025 #4 Fbn said: Ushawahi kufuga hata watoto wako Click to expand... Nishawahi kufuga sungura na kanga mbona wateja wanapatikana vizuri tu.. vipi wewe ulishawahi kufuga hata kanjiwa?.
Fbn said: Ushawahi kufuga hata watoto wako Click to expand... Nishawahi kufuga sungura na kanga mbona wateja wanapatikana vizuri tu.. vipi wewe ulishawahi kufuga hata kanjiwa?.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2025 #5 Sawa sawa