sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Naweka facts kwa jinsi zilivyo based on demographics, so hakuna ukabila hapa bali ni demographical facts.
Lets just admit kina Mwaisa they have the southern crown, Southern namaanisha mikoa ya kusini Mbeya, Songwe, Rukwa, Iringa. Njombe, Ruvuma, Mtwara, Lindi,
Nawakumbusha tena Power nayoongelea haijagusa biashara (crown goes to Mkinga) bali ipo in terms of Nafasi za kiasiasa katika national level kama uwaziri na uspika, Kuwepo kwa watu kwenye sytem vyeo vya juu jeshini, taasisi za serikali, ukurugenzi, n.k, na pia hata kwenye elimu maprofesa, ma engineer, wanasheria, madaktari, n,k.
Katika Elimu pekee Mbeya imejitosheleza nashule ni nyingi za private na hata vyama wa umoja wa wazazi kwao walizingatia sana kujenga shule kwanza kwajili ya kuelimisha watoto.
Shule za english Medium za kiingereza zipo nyingi mno na za Private kama uwata, umoja, Riverside, St marrys, Maps, besta, n,k na huku wanyakyusa wamejaza. shule za serikali za english za laki 2 kuna Mkapa, Magufuli, Azimia, n.k.
Shule za sekondari nazo zipo nyingi sana private zipo utitiri ila kwa uchache kuna Saint Francis, Pandahill, Swilla, Uwata, St Marrys, n.k. Shule za umoja wa wazazi zipo za laki 4 kama Meta, Sangu, Ivumwe, Mbalizi , n.k. za serikali ni utitiri
Kwa byuo Mbeya ni jiji la pili kwakuwa na vyuo vingi, kuna MUST, UDSM - UCC, UDSM - MCHAS, Mzumbe, TIA, CBE, ADEM, KILIMO hivyo vya serikali, tukija private kuna SAUT, TUMAINI, TEKU, n.k. vyuo vya afya na ufundi ni utitiri
Elimu hii kuwa karibu imefanya kuwe na wanyakyusa wengi kwenda kujiunga mashuleni na vyuoni na kuwa na chance kubwa sana ya kupata ajira.
Kwenye power nako si haba nafasi kama mawaziri kina Profesa Mwakyembe, Profesa Mwakyusa wamewakilisha vyema. Nafasi ya Spika hapo yupo Profesa Tulia na hata jeshini kumwewahi kuwepo Mwamunyange.