Naweka facts kwa jinsi zilivyo based on demographics, so hakuna ukabila hapa bali ni demographical facts.
Lets jus admit it they have the southern crown,
Elimu: Kwenye suala la kuelimika katika familia nyingi hili ni suala muhimu sana sana,
Shule za english Medium za kiingereza zipo nyingi mno za Private na hata za serikali za english za laki 2 kuna Mkapa, Magufuli, Azimia, n.k.
Shule za sekondari nazo zipo nyingi sana provate na public, pia za umoja wa wazazi za laki 4 zipo Meta, Sangu, Ivyumwe, Mbalizi , n.k.
Vyuo Mbeya ni jiji la pili kwakuwa na vyuo vingi, kuna MUST, UDSM - UCC, UDSM - , Mzumbe, TIA, CBE, ADEM, hivyo vya serikali, tukija provate kuna SAUT, TUMAINI, TEKU,n.k. vyuo vya afya na ufundi ni utitiri
Elimu hii imefanya kuwe na wanyakyusa wengi kwenda kujiunga vyuoni na kuwa na chance kubwa sana ya kupata ajira hasa ukizingatia nao pia wana kautamaduni ka kubebana.
Kwenye power nako si haba kumewahi kuwepo na mawaziri wengi tu wa kinyajyusa, Spika wa sasa ni wa huko na hata jeshini kumwewahi kuwepo Mwamunyange ambae nae atakua aliingiza na kupandisha vyeo wengi tu,