Katika ukanda wote wa kusini sijaona wa kuwafikia wanyakyusa katika elimu na power, They have the southern crown!

Huu uzi sio nadhani hoja umejifunika kusifia ila dhamira umechagiza kuchafua wanyakikyusa, na mnyakyusa Hana umiliki wa Mbeya kwa namna yoyote ile,, mods huu uzi usomeke Mbeya maana ujumbe unahusu Mbeya na sio hilo kabila dogo sana
 
Yeye anataka isomeke Mnyakyusa maana ndie anaejulikana huyo kabila kubwa mwingine wa Mbeya hajulikani, mtu akitua toka Mbeya kila mtu anajua ni Mnyakyusa sio Msafwa
 
Kwa hio unamaanisha Namungo na pale Lindi Mahuta Shimoni mpaka huko Nantumbo huko Masasi na Luagala kuna vilaza hawajasoma kazi yao ni wanawinda ndege tu na kucheza ngoma za asili, au hawajulikani Ila wamesoma ?
Sijasema hakuna wasomi, Access ya education hayo maeneo bado ni ngumu, Huwezi linganisha na Mbeya shule zipo kibao ni rahisi sana mtu kusoma Mbeya lakini pia wazazi nao wanajitoa sana kupeleka watoto shuleni na kuwasisitiza umuhimu wa shule.
 
Mkinga ni mfanyabiashara, huyu anaizungumzia elimu na power ya kisiasa
Biashara yenyewe elimu tosha!Sasa kama unashindwa kufanya biashara hiyo elimu inasaidia nini?
Wakinga mbona hata shule wanapiga sana tu diku hizi! Amina Deo Sanga,Nehemia Mchechu!
 
Biashara yenyewe elimu tosha!Sasa kama unashindwa kufanya biashara hiyo elimu inasaidia nini?
Wakinga mbona hata shule wanapiga sana tu diku hizi! Amina Deo Sanga,Nehemia Mchechu!
Biashara ya wakinga sio ya kufundishwa darasani, huyu anaizungumzia elimu ya kufundishwa darasani
 
Sijasema hakuna wasomi, Access ya education hayo maeneo bado ni ngumu, Huwezi linganisha na Mbeya shule zipo kibao ni rahisi sana mtu kusoma Mbeya lakini pia wazazi nao wanajitoa sana kupeleka watoto shuleni na kuwasisitiza umuhimu wa shule.
Yaan unataka kusemaje kimfano hapo unapoilenga St. Fransis si uwekezaji km Feza ? Nilichokuuliza na ulichojibu haviendani
 
Hiyo elimu ya darasi lengo ni hela huyi Mnyakyusa lengo ni kujisifia!
Lakini nikwambie hao wanyakyusa kwenye jamii za wapambanaji nchi hii mi diwahesabu ni bora ya Waha!
Wanyakyusa ni Mhaya aliechangamka Nani asiejua hilo
 
Halafu matokeo zero! Yaani kuzungumzia shule isiyofanya jamii ku pata pesa ni ujinga! Watu wanasoma wapate exposure ya kufanya mambo mengi! Wengine waajiliwe lakini pia wafanye sekta zingine kukomaa na kujisifu tuko wengi ofisini ni ujinga huku unapokea laki taru kama mshahara!
Pia nijuavyo mimi saizi hakuna cha Kabila watu wanapiga shule na kazi zingine wanafanya sana tu!
Wanyakyusa ni Mhaya aliechangamka Nani asiejua hilo
 
Mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa haiko kusini, bali iko Nyanda za Juu Kusini Magharibi mwa Tanzania (Southwestern Highlands of Tanzania). Mikoa iliyoko Kusini (Southern) ni Mtwara, Lindi na sehemu ya mkoa wa Ruvuma hususan wilaya ya Tunduru.
 
Umesahau kwenye sekta ya religion na sanaa
 
Mbeya ukivaa suti na kusimama pembeni ya barabara huku umeshika kitabu kikubwa basi watu wanaanza kukupa sadaka.
 
Unasifia Ukabila, wewe ni Mpumbavu na Mshamba

Eti unasifia kabisa kuwa wanabebana, unaishi karne ipi?

Takataka
 
sambulugu kwa mala ya kwanza umekiri kuwa wachaga ni miamba na wanaume haswa. Big up umetambua ukweli sasa.
Wale wanaume haswa hawajakariri elimu tu! Jamii inayokazania shule pekeake kwa tatizo la ajira saizi lazima idumae lakini mchaga utamkuta kwenye biashara,madini ,shule na kwenye kila eneo kama alivyo Mkinga na Msukuma!
Ukitaka kujua hilo angalia Wahaya wanavyoteseka maana vijana wengi wako kwenye elimu hata sehemu za madini kama Geita na Kahama ni wachache sana lakini Mkurya,Msukuma utamkuta anapambana!
 
Hiyo elimu ya darasi lengo ni hela huyi Mnyakyusa lengo ni kujisifia!
Lakini nikwambie hao wanyakyusa kwenye jamii za wapambanaji nchi hii mi siwahesabu ni bora ya Waha!
Na ndio maana power inasaidia, Huko kwenye system kundi flani likiwa na power linaweza kutumia kodi zinazokusanywa kupeleka maendeleo kwao.

ubongo mtu wangu!
 
Yaan unataka kusemaje kimfano hapo unapoilenga St. Fransis si uwekezaji km Feza ? Nilichokuuliza na ulichojibu haviendani
Wanufaika wengi wa elimu ya hio shule ni wakazi wa karibu na shule, hivyo wanyakyusa huwa ni kawaida kuwa wengi hapo saint francis. Ni sawa na Kaizarage ya Bukoba wanafunzi wengi wahaya wa Bukobda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…