Katika ulimwengu wa “sihitaji marafiki”, mimi nimechagua kuwa na marafiki na kila tukipata wasaa tunaishi kwelikweli

Katika ulimwengu wa “sihitaji marafiki”, mimi nimechagua kuwa na marafiki na kila tukipata wasaa tunaishi kwelikweli

Wale wanaume wanaojifanya wa kike wanakula nauli za watu humu (nilisoma kwenye uzi wa malalamishi na ule uzi ukafutwa chap na mod)mbona chyup ztawadondoka😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Kumbe hii kitu ipo humu jaman,,,basi walete tu tujionee maajabu
 
Znapenda zingekuwa ke zchuchumae kukojo*
Yule mtoa mada alikuwa akitafuta mchumba ndo njemba ikaifanya mchumba kwa nlivosoma
Hahahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Nmecheka kama mazur vile😂😂😂😂
 
Kwa kweli sipendi ndugu, ila nina rafiki ambao ni ndugu zangu kabisa utasema tulilelewa pahala pamoja. Tumekuwa na ups and downs na kusaidia katika hayo. Katika maisha furaha ni nambari wani. Hongera mkuu, utaishi sana
 
Wewe bado mshamba. Kupenda marafiki, ndugu na watu ni ushamba dunia ya Leo. The new cool ni kutokupenda marafiki, ndugu, na watu in general. Additionally inabidi uwe introvert, antisocial, uwe na some sort of mental issues na uwe victim of any way, shape or form. Huo ndo ujanja in today's crazy world.
 
Unanikumbusha documentary moja niliaangali LinkedIn
Ya mzungu mmoja alivyojikuta hana hata rafiki wa kutembeleana baada ya kupelekeshwa na maisha ya kuanza familia
Japo kuwa alikuwa na marafiki kadhaa tokea shule mpaka chuo, lakini baada ya kuanza maisha ya familia na watoto, polepole alianza kuona urafiki unayoyoma kwa kuwa karibu zaidi na watoto wake.
Baada ya watoto kukua, alianza kujikuta peke yake, maana watoto waliaanza kuwa na marafiki zao shuleni na hawana muda na yeye tena,
Japo anafanya kazi ya ajira na kuwa na wafanyakazi wenzake lakini kiuhalisia anasema hao sio rafiki zake bali wafanyakazi wenzake.
Na akijaribu kuwatafuta wale rafiki zake tokea utotoni na shuleni, nao pia wamepotea na kuendelea na maisha yao
Hapo ndio aliaanza kujichanganya kwenye vikundi vya kijamii na na pia pub za maeneo yake
Just to have people to talk to ......
Huko ndio tunakoelekea muda sio mrefu
 
Nimewahi kukutana na watu wanaosema kuwa hawahitaji watu kwenye maisha yao, yaani hawataki ndugu wala marafiki. Ni sawa kabisa. Kila mtu anaweza kuchagua atakalo kutokana na uzoefu wake na akawa na furaha. Kila mtu ana njia yake na hiyo ni sawa kabisa.
Wengi wakishapata vihela na ka ajira ndio husema hivi...au pesa za majini
 
Back
Top Bottom