Katika ulimwengu wa “sihitaji marafiki”, mimi nimechagua kuwa na marafiki na kila tukipata wasaa tunaishi kwelikweli

Katika ulimwengu wa “sihitaji marafiki”, mimi nimechagua kuwa na marafiki na kila tukipata wasaa tunaishi kwelikweli

stage yako ya kusema hayo maneno ya wenzako bado sana una safari ndefu,,, omba ufunguliwe nyuzi za ubongo wako kabla hayajakukuta 😃😃

SIHITAJI NDUGU AU MARAFIKI ika pesa ndio italeta vyote hivyo huo msemo unamaana.
Wewe ndio unashida ila unaona marafiki ndio wanatatizo.
 
Wewe bado mshamba. Kupenda marafiki, ndugu na watu ni ushamba dunia ya Leo. The new cool ni kutokupenda marafiki, ndugu, na watu in general. Additionally inabidi uwe introvert, antisocial, uwe na some sort of mental issues na uwe victim of anything in some ways. Huo ndo ujanja in today's crazy world.
Japo kuwa Wahenga walisema....
"The more people the merrier"

Maisha ya leo yamedhihirisha...
"The less people the merrier"

Lakini ndugu wa damu ni "exceptional"
 
Wewe bado mshamba. Kupenda marafiki, ndugu na watu ni ushamba dunia ya Leo. The new cool ni kutokupenda marafiki, ndugu, na watu in general. Additionally inabidi uwe introvert, antisocial, uwe na some sort of mental issues na uwe victim of anything in some ways. Huo ndo ujanja in today's crazy world.
Autistic Spectrum 🤣
I love my kitinda mimba
He got a mind of his own
 
Kata bima. Sio kazi ya rafiki/ndugu kukuuguza. Msichanganye urafiki na shida zenu. Kutumiana sio urafiki.
Nafikiri, pitia upya ulichoandika. Sio kazi ya rafiki au ndugu kukuuguza? Pia yawezekana tuna uelewa tofauti kuhusu "kuuguza"

Kuwa na Bima haina maana kuwa, shughuli za mgonjwa zinamalizwa na Bima. Sio kila changamoto inamalizwa na pesa.
 
Nyie mnataka urafiki wa kutumiana. Hicho chenu ni kikundi Cha watu wenye shida sio urafiki.
 
Ukikua utangudua marafiki hawana faida yoyote juu ya mafanikio yako na kutimiza malengo yako zaidi ya kukupotezea muda na kukukwamisha.
 
Back
Top Bottom