Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Lakini kuwa chawa sio dangerous?The most dangerous enemy in your life is your close-friends, be very carefully of whom you chose to be your friend.
True.....ukiona marafi ni wabay ujue ubaya umeanza na wewe kwanza.Marafiki wapo tena wapo haswaa...
Wewe ndio unashida ila unaona marafiki ndio wanatatizo.stage yako ya kusema hayo maneno ya wenzako bado sana una safari ndefu,,, omba ufunguliwe nyuzi za ubongo wako kabla hayajakukuta 😃😃
SIHITAJI NDUGU AU MARAFIKI ika pesa ndio italeta vyote hivyo huo msemo unamaana.
Japo kuwa Wahenga walisema....Wewe bado mshamba. Kupenda marafiki, ndugu na watu ni ushamba dunia ya Leo. The new cool ni kutokupenda marafiki, ndugu, na watu in general. Additionally inabidi uwe introvert, antisocial, uwe na some sort of mental issues na uwe victim of anything in some ways. Huo ndo ujanja in today's crazy world.
Autistic Spectrum 🤣Wewe bado mshamba. Kupenda marafiki, ndugu na watu ni ushamba dunia ya Leo. The new cool ni kutokupenda marafiki, ndugu, na watu in general. Additionally inabidi uwe introvert, antisocial, uwe na some sort of mental issues na uwe victim of anything in some ways. Huo ndo ujanja in today's crazy world.
Never trust anyone else except yourself. Trusting people will get you killed.Lakini kuwa chawa sio dangerous?
Binadamu bwana mnapenda misemo ambayo hamjui hata maana yake.
Hahaha.....kwani wananilisha? Shida yenu mnataka marafiki wawatatulie shida zenu binafsi na inapoonekana hawajafanya hivyo mnaona kama ni marafiki wasio faaNever trust anyone else except yourself. Trusting people will get you killed.
Autistic Spectrum 🤣
I love my kitinda mimba
He got a mind of his own
Ukitaka kujua una marafiki pata ugonjwa ambao utakuweka kitandani kwa miezi sita.
Nafikiri, pitia upya ulichoandika. Sio kazi ya rafiki au ndugu kukuuguza? Pia yawezekana tuna uelewa tofauti kuhusu "kuuguza"Kata bima. Sio kazi ya rafiki/ndugu kukuuguza. Msichanganye urafiki na shida zenu. Kutumiana sio urafiki.
Nafikiri, pitia upya ulichoandika. Sio kazi ya rafiki au ndugu kukuuguza? Pia yawezekana tuna uelewa tofauti kuhusu "kuuguza"
Kuwa na Bima haina maana kuwa, shughuli za mgonjwa zinamalizwa na Bima. Sio kila changamoto inamalizwa na pesa.