Katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

Forrest Gump

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2021
Posts
637
Reaction score
1,532
Tunatofautiana uwezo, nyenzo na vigezo, hivi hupelekea kukimbizana na muda katika hitaji la kumiliki nyumba zetu binafsi.

Lakini richa ya muda na umri, kila mtu atapambana hadi mwisho amiliki ngome yake.

So mwana jamii, katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

Be honest.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…