Katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

Katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

28..29 nikahamia kwangu nikakaa miezi 4 nikarudi kupanga kati coz nilihisi nipo gerezani.
kampani ilikata, teki nikawa nalisikia tu.
ukichelewa hadi saa 3 usiku unakuta dalili za uporwaji getini.
nikaona isiwe shida nikarudi kati kwa wana.
kujenga sio furaha ya mwisho
Oya,, kama mimi yani
Huko poli baada ya kuhisi msoto ikabidi nipige room 1 nikamuachia mwana anilindie kiwanja,,
 
Tunatofautiana uwezo, nyenzo na vigezo, hivi hupelekea kukimbizana na muda katika hitaji la kumiliki nyumba zetu binafsi.

Lakini richa ya muda na umri, kila mtu atapambana hadi mwisho amiliki ngome yake.

So mwana jamii, katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

Be honest.
37
 
28..29 nikahamia kwangu nikakaa miezi 4 nikarudi kupanga kati coz nilihisi nipo gerezani.
kampani ilikata, teki nikawa nalisikia tu.
ukichelewa hadi saa 3 usiku unakuta dalili za uporwaji getini.
nikaona isiwe shida nikarudi kati kwa wana.
kujenga sio furaha ya mwisho
Ulijengea wapi huko? [emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom