Katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

Katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

Nijenge? Ili iweje wakati Duniani tumekuja kutimiza vitu vitatu tu

1.KULA
kwa maana ya nyama china Zote, savanna n.k atakula nani,

2.KULALA
yaani wewe ujenge na Mimi nijenge nani atampangisha mwenzie,hizi apartments & lodge hapa mjini atakaa nani

3.KUDINYANA
Yaani Pisi Kali za town niziache ukiuliza najenga, najenga Nini, nyumba anayo Kobe Tena anatembea nayo sembuse wewe unayeiacha


Akili kichwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wanajenga na bado hayo yote wanafanya
 
Saafi sana.

Ndo ujipange ujenge ingine japo mjini hadi ujenge nyumba ya kueleweka yapasa ujipange hasaa.
Jeuri hiyo ya kuitoa nyumba iliyo kichwani sinaaaa. Yani kodi yenyewe inanifukuza balaaa, uwanja sina hahahaaa😁😁, nacheka kama mzr ila moyon maumivu
 
Daah nimepambanaa kwa jasho na dam nimejenga..ile namalizia kuweka geti tu mke ananipeleka bakwata et tuachane tugawane nyumba daah...na hawa watoto wetu wawili tuwafanyaje?..kumbe alikua kwa maslahi tu sio mapenz
Mungu wangu..pole mkuu, daah...
 
Nakaribia 40 na bado! kila nikiangalia mbele naona kama kuna kama mitatu hivi kabla ya 'kuanza zoezi'. Nikiwaona wa 20's waliofanikisha, nakaribia kukimbia wazimu......najiona nimekosa mipango, lofa, mzembe n.k.
Inawezekana kipndi upo kwenye 20s nyumba haikua kipaumbele chako wala hukuifikiria na ulienjoy maisha yako(Hicho ndio kikubwa)
Na kama kwa sasa nyumba ni jambo la muhimu sana kwako jitahidi ufanikishe achana kabisa na yaliyopita wala kujilinganisha.
 
Mie nilitamani sana niitwe mama mwenye nyumba kabla ya 30 au nikiwa 30. Bado mwaka mmoja nifike umri huo na kiwanja kipo ilikua mwezi huu tuwe tunakimbizana na ujenz mwenzangu kanigeuka hataki tena kujenga na pesa ametunza yeye.
Sina hamu hapa nmekua mpolee mipango yote imeyeyuka.
 
Mie nilitamani sana niitwe mama mwenye nyumba kabla ya 30 au nikiwa 30. Bado mwaka mmoja nifike umri huo na kiwanja kipo ilikua mwezi huu tuwe tunakimbizana na ujenz mwenzangu kanigeuka hataki tena kujenga na pesa ametunza yeye.
Sina hamu hapa nmekua mpolee mipango yote imeyeyuka.
Pole mkuu
 
Nikumbushe tu;
thamani ya kiwanja Dar ni nyumba kadhaa mikoani,so wa mikoani hesabuni idadi ya nyumba zenu kwa staha kidogo
emoji38.png
emoji1787.png
Naona avatar ya Dr.zakir naiki.
 
Back
Top Bottom