Katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

Katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

Nakaribia 40 na bado! kila nikiangalia mbele naona kama kuna kama mitatu hivi kabla ya 'kuanza zoezi'. Nikiwaona wa 20's waliofanikisha, nakaribia kukimbia wazimu......najiona nimekosa mipango, lofa, mzembe n.k.
 
nakaribia 40 na bado! kila nikiangalia mbele naona kama kuna kama mitatu hivi kabla ya 'kuanza zoezi'. Nikiwaona wa 20's waliofanikisha, nakaribia kukimbia wazimu......najiona nimekosa mipango, lofa, mzembe n.k.
Hapana mkuu, wewe sio lofa, wewe ni fighter ndio maana umekaribia kujeng yako. Kuwahi sio kufika.
 
Daaa wenzangu sijui waliwezaje kujenga na miaka 20.
Mimi niko 25 bado nakomaa kwenye upangaji na sioni dalili hata za kununua kiwanja
 
😂😂😂
Unajua vijijini ni hali ya kawaida sana ila mm nilijenga kwa umr mdg sanaaa, nilifyatua tofar 1500 zingne zilipasuka😂😂, fundi wa kujenga nilimpa elf 15😂😂 alikuwa mpwa wangu, na ndiye aliniezekea juu😀, chanzo cha kujenga ni kero ya bi mkubwa kunitukana eti mm kikojozi na ni kweli kwa huo umr bado nilikuwa nachora ramani ck moja moja😂😂😂😂😂. 2013 nilipomaliza 4m 4 nilipata vihela vya kibarua niliezua paa nikapiga bati sita za fut sita sita😂😂😂. Saiz maza anafugia kuku mm nipo kulipa kodi huku😂
 
Nijenge? Ili iweje wakati Duniani tumekuja kutimiza vitu vitatu tu

1.KULA
kwa maana ya nyama china Zote, savanna n.k atakula nani,

2.KULALA
yaani wewe ujenge na Mimi nijenge nani atampangisha mwenzie,hizi apartments & lodge hapa mjini atakaa nani

3.KUDINYANA
Yaani Pisi Kali za town niziache ukiuliza najenga, najenga Nini, nyumba anayo Kobe Tena anatembea nayo sembuse wewe unayeiacha

Akili kichwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Niliona kudunduliza hela ujenge inahitaji moyo,kwanza kuanza kujenga huna mishe ya maana utamaliza lini..nilianza kununua kiwa ja, nilipata hela flani wala sikuhangaika kujenga nilinunua nyumba now I'm 30 yrs old ,sasa hivi natafuta hela ya kujenga ukuta na geti.
 
Kujengaa Ni uwogaa wa maisha hapa duniani.....mi nahakika nyumbaa yangu ya milele naijengaa mbinguni nazani itakuwa gorofaa mbili.....Ina swimming pool, basketball yard.....nazani Sasa hivi ntakuwa na tengenezea garden kwa sadaka zangu
 
Unajua vijijini ni hali ya kawaida sana ila mm nilijenga kwa umr mdg sanaaa, nilifyatua tofar 1500 zingne zilipasuka😂😂, fundi wa kujenga nilimpa elf 15😂😂 alikuwa mpwa wangu, na ndiye aliniezekea juu😀, chanzo cha kujenga ni kero ya bi mkubwa kunitukana eti mm kikojozi na ni kweli kwa huo umr bado nilikuwa nachora ramani ck moja moja😂😂😂😂😂. 2013 nilipomaliza 4m 4 nilipata vihela vya kibarua niliezua paa nikapiga bati sita za fut sita sita😂😂😂. Saiz maza anafugia kuku mm nipo kulipa kodi huku😂
Saafi sana.

Ndo ujipange ujenge ingine japo mjini hadi ujenge nyumba ya kueleweka yapasa ujipange hasaa.
 
Unajua vijijini ni hali ya kawaida sana ila mm nilijenga kwa umr mdg sanaaa, nilifyatua tofar 1500 zingne zilipasuka😂😂, fundi wa kujenga nilimpa elf 15😂😂 alikuwa mpwa wangu, na ndiye aliniezekea juu😀, chanzo cha kujenga ni kero ya bi mkubwa kunitukana eti mm kikojozi na ni kweli kwa huo umr bado nilikuwa nachora ramani ck moja moja😂😂😂😂😂. 2013 nilipomaliza 4m 4 nilipata vihela vya kibarua niliezua paa nikapiga bati sita za fut sita sita😂😂😂. Saiz maza anafugia kuku mm nipo kulipa kodi huku😂
2013 unamaliza form 4. 🤔

Shikamoo yangu uanze kuiandaa kwa kweli. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom