Katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

ya kwanza nikiwa na miaka 18 ya matope kijijini moshi,ya pili 23 arusha town nimeweka wapangaji,ya tatu 26 arusha nimeweka wapangaji,ya nne 29 nimejengea wazazi wangu,ya tano 31 fremu za maduka pamoja na nyumba nayokaa kwa sasa chuga
 
Waoooooooooh.. ....
 
Back
Top Bottom