Katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

Hivi kwanini kupata fremu ya biaashara chuga ni ngumu sana na bei ni juu sanaaa
kwa sababu ya gharama walizotumia katika kujnga wanapangisha ghali ilia kurudisha gharama zao walizotumia,pia miingiano ya watu ni mkubwa chuga ndo sehemu kuna makabila yote ya watu so sehemu kama hii kuna competition ya biashara
 
Important is once you live a good life's, good car able to do every things you want,but this formulae applied for me!
 
😁😁 we acha tu iLa hatuwez kufa kwenye nyumba za kupanga iko sku na ss tutawaachia urithi watoto wetu
*Kiwanja tafuta cha 700,000
Usijali umbali toka mjini,
*Anza kufyatua matofali yafikie 1500 tu,
*Mtafute mchora ramani rafiki yako akupe dizaini simple vyumba 2 na sebule chimba choo kidogo nje,hakikisha ramani yako ni endelevu yaani unaweza kuongeza mpaka utakapo maliza uje kjipata bungalow that is simple way I did.haya makitu Wala yasijekukunyima furaha,maana hata utakapohamia kwenye Banda lako hutaona furaha yoyote!
 
𝐷𝑎𝑎ℎ 𝑠ℎ𝑢𝑘𝑟𝑎𝑛𝑖 𝑘𝑢𝑢 𝑢𝑚𝑒𝑛𝑝𝑎 𝑖𝑑𝑒𝑎 𝑛𝑎𝑖𝑚𝑎𝑛 𝑛𝑎𝑚𝑖 𝑛𝑘𝑖𝑓𝑘𝑖𝑠ℎ𝑎 𝑚𝑖𝑎𝑘𝑎 28 𝑛𝑡𝑎𝑘𝑢𝑎 𝑛𝑎 𝑘𝑤𝑎𝑛𝑔𝑢 𝑛𝑎𝑎𝑚𝑒𝑛 ℎ𝑣𝑜
 
sasa hivi unamiaka mingapi
 
ukiweka elfu 5 kila siku baada ya miaka 5 utakuwa na kama million 9 hivi sasa hapo siunajenga kabisa
ni kweLi iLa s unaelewa maisha yetu ya kiswahiLi kuipata elfu 5 kiLa day nayo ni mtiti unaweza ukakaa week uspate ishu ya kupga mtaan ila sometimes napo mungu anabark mamb yanakaa
ila asilimia kubwa tunafeli kutkana na changamoto za kifamilia unakuta shda kbao na ww unajikuta nd wa kutatua n ngumu kufankisha sometimes
 
unafanya kazi gani tuanze hapo
 
Back
Top Bottom