APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
kwa sababu ya gharama walizotumia katika kujnga wanapangisha ghali ilia kurudisha gharama zao walizotumia,pia miingiano ya watu ni mkubwa chuga ndo sehemu kuna makabila yote ya watu so sehemu kama hii kuna competition ya biasharaHivi kwanini kupata fremu ya biaashara chuga ni ngumu sana na bei ni juu sanaaa