Katika umri wa miaka 50 haujatoboa na wala hauna kitu. Kuna uwezekano wa kuwini maisha?

Unaweza ku win, kama uko na idea kichwani, kama Kuna kitu unaona kabisa kichwani, ila kama huoni chochote kichwani, basi utamlaumu Mungu tu kuwa ana Upendeleo.

Mwanzilishi wa KFC alifanikiwa akiwa na miaka 60....
Alifanya kazi ya kuosha Vyombo hotelini, baadaye Waiter, kilichobaki na story tu kuwa aliwahi kuosha Vyombo Mghahawani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…